Habari

Dorothy Semu: CCM haitaki uchaguzi huru, lakini sisi tumejipanga

Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu ametoa kauli kali dhidi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), akikituhumu kwa kutoonyesha nia yoyote ya kuhakikisha uchaguzi mkuu ujao unakuwa huru na wa kuaminika. Akizungumza Julai 10, 2025 katika mkutano wa hadhara uliofanyika Jimbo la Same Mashariki mkoani Kilimanjaro, Semu alisema, “Chama cha Mapinduzi. Hakitaki kusikia wala hakijafanya jitihada […]

Dorothy Semu: CCM haitaki uchaguzi huru, lakini sisi tumejipanga Read More »

Watumishi 366 wa Jeshi la Magereza Iringa wapatiwa mitungi, majiko ya gesi

Katika kuendelea kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imegawa mitungi ya gesi ya Kilogramu 15 pamoja na majiko ya sahani mbili 366 kwa Watumishi wa Jeshi la Magereza Mkoa wa Iringa. Akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi ya gesi pamoja na majiko

Watumishi 366 wa Jeshi la Magereza Iringa wapatiwa mitungi, majiko ya gesi Read More »

Mifuko ya hifadhi ya jamii izingatie umakini uwekezaji-Dk. Mpango

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango, amesema ni muhimu kuwepo umakini kwenye uwekezaji wa miradi ya miundombinu kwani miradi ambayo haiwezi kutekelezeka inaweza kudhoofisha uwezo wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kutimiza wajibu wake. Dk. Mpango ameyasema hayo Julai 10, 2025, wakati akifungua mkutano wa 14 wa Kimataifa wa

Mifuko ya hifadhi ya jamii izingatie umakini uwekezaji-Dk. Mpango Read More »

TALIRI yajipanga kushirikiana na wafugaji kuboresha Sekta ya Mifugo kwa teknolojia bunifu

Dar es Salaam — Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI), Prof. Erick Komba, amesema taasisi hiyo iko tayari kushirikiana kwa karibu na wafugaji pamoja na wadau mbalimbali wa sekta ya mifugo nchini, ili kubaini na kutatua changamoto zinazowakabili wafugaji kwa kutumia teknolojia bora zinazolenga kuongeza tija katika uzalishaji. Akizungumza katika Maonesho

TALIRI yajipanga kushirikiana na wafugaji kuboresha Sekta ya Mifugo kwa teknolojia bunifu Read More »

NMB yapewa tuzo maalum na WCF kwa uzingatiaji bora wa uwasilishaji wa michango ya wafanyakazi

Dar es Salaam Benki ya NMB imeendelea kuthibitisha uongozi wake katika masuala ya rasilimali watu baada ya kutunukiwa tuzo maalum na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kwa kuzingatia kikamilifu kanuni na uwasilishaji wa michango kwa wakati. Tuzo hiyo ilitolewa wakati wa maadhimisho ya miaka 10 ya WCF yaliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa

NMB yapewa tuzo maalum na WCF kwa uzingatiaji bora wa uwasilishaji wa michango ya wafanyakazi Read More »