Habari

REA yajizatiti kufikisha lengo la taifa kwenye nishati safi ya kupikia

Mkurugenzi Mkuu REA abainisha hatua zinazochukuliwa Amshukuru Rais Samia kwa kuwezesha Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy amesema Wakala umejizatiti kuhakikisha 80% ya Watanzania wanatumia Nishati Safi ya Kupikia ifikapo mwaka 2034 kama ilivyoelekezwa katika Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia. Amebainisha hayo Julai 07, 2025 […]

REA yajizatiti kufikisha lengo la taifa kwenye nishati safi ya kupikia Read More »

Vitongoji vyote 64,359 vitakuwa na umeme ifikapo 2030

·       Hadi sasa vitongoji 33,657 vimefikishiwa umeme sawa na 52.3% ·       Waliofikiwa wasisitizwa kutumia umeme kuibua fursa za kiuchumi Imeelezwa kuwa hadi kufikia mwaka 2030 vitongoji vyote Tanzania Bara vitakuwa vimefikishiwa nishati ya umeme kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa na kusimamiwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa

Vitongoji vyote 64,359 vitakuwa na umeme ifikapo 2030 Read More »

Airtel Money na TCDC Waingia Ubia Kuboresha Sekta ya Kilimo Kidijitali

Airtel Money Tanzania imesaini makubaliano ya kuingia katika ushirikiano wa kimkakati na Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) kwa lengo la kuboresha sekta ya kilimo kupitia huduma za mawasiliano na huduma fedha kidijitali. Ushirikiano huu unalenga kuwawezesha wakulima kupata huduma salama na za haraka za malipo, kuongeza ujumuishwaji wa kifedha na kupanua upatikanaji wa

Airtel Money na TCDC Waingia Ubia Kuboresha Sekta ya Kilimo Kidijitali Read More »

Dkt. Biteko asema Tanzania ina usalama wa chakula, awapongeza wakulima

📌Asema Serikali inatambua Vyama vya Ushirika ni muhimu kuunganisha nguvu za wananchi na kujiendeleza kiuchumi 📌 Mauzo ya nje ya kahawa na tumbaku 2023/2024 yaongezeka hadi Dola za Marekani 19,300,000 📌 Maono ya Rais Samia yaanza kuonekana sekta ya kilimo yachangia GDP asilimia 26 📌 Aziagiza Wizara za Fedha na Kilimo kupata ufumbuzi wa bei

Dkt. Biteko asema Tanzania ina usalama wa chakula, awapongeza wakulima Read More »

Mwanafunzi aibuka kidedea tuzo za NEMC utunzaji mazingira

Na Mwandishi Wetu BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limewapa tuzo washindi watatu wa mazingira challenge shindano lililoandaliwa maalum na baraza kwaajili ya kuhamasisha uhifadhi na utunzaji wa mazingira. Washindi hao walikadhiwa tuzo zao jana na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Cyprian Luhemeja. kwenye Maonyesho

Mwanafunzi aibuka kidedea tuzo za NEMC utunzaji mazingira Read More »

Ado Shaibu amvaa Wakili Mwabukusi

Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema kauli ya Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniphace Mwabukusi kupinga jitihada za ACT Wazalendo kuhamasisha wananchi kulinda kura ina udhaifu wa kimantiki. Ado ametoa kauli hiyo kwenye Mkutano Mkuu wa ACT Wazalendo Jimbo la Kisarawe ulipfanyika leo Julai 06, 2025 Kisarawe Mjini. “Nimefuatilia mjadala

Ado Shaibu amvaa Wakili Mwabukusi Read More »

Mnyeti: Umekaa na ng’ombe analingana kilo na wewe! mchanje, muoshe na umtibu

Serikali imesema ili mifugo iwe na thamani pamoja na ubora wa kimataifa ni lazima ichanjwe dhidi ya magonjwa, kuoshwa na kutibiwa kwa ajili ya kuondokana na umasikini wa wafugaji na taifa kwa ujumla. Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Alexander Mnyeti amebainisha hayo (05.07.2025) katika Kijiji cha Mahembe kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga mkoani

Mnyeti: Umekaa na ng’ombe analingana kilo na wewe! mchanje, muoshe na umtibu Read More »

NMB Foundation yainua wakulima wa korosho Newala na Ruangwa

Wakulima kutoka wilaya za Newala na Ruangwa mkoani Mtwara wamehitimu mafunzo ya kuongeza thamani ya zao la korosho, yaliyoandaliwa na NMB Foundation kwa ushirikiano na Rabo Foundation pamoja na kampuni ya Prosperity Agro Industries Ltd. Mafunzo hayo yalihitimishwa kwa hafla iliyohudhuriwa na viongozi wa serikali na taasisi mbalimbali, akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Newala, Alhaji

NMB Foundation yainua wakulima wa korosho Newala na Ruangwa Read More »