Habari

Wataalam waonywa wanaotumia chanjo kujinufaisha kibiashara

Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imetoa onyo kwa maafisa na watalaam wanaotekeleza Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo na Utambuzi wa Mifugo kutotumia vifaa vya chanjo kujinufaisha kibiashara na badala yake vitumike kuchanja Mifugo kama ilivyokusudiwa na serikali. Akizungumza na wafugaji leo Julai 4, 2025 wakati wa Uhamazishaji wa kampeni hiyo katika halmshauri ya […]

Wataalam waonywa wanaotumia chanjo kujinufaisha kibiashara Read More »

Watanzania watakiwa kuachana na dhana potofu nishati safi ya kupikia ni gharama

Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umewasihi Watanzania kote nchini kuachana na dhana ya kwamba Nishati Safi ya Kupikia ni gharama ikilinganishwa na matumizi ya kuni na mkaa. Mkurugenzi wa Umeme Vijijini kutoka REA, Mhandisi Jones Olotu ametoa rai hiyo Julai 04, 2025 katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) Jijini Dar es Salaam

Watanzania watakiwa kuachana na dhana potofu nishati safi ya kupikia ni gharama Read More »

Watumishi Jeshi la Magereza waahidi kuwa Mabalozi wa Nishati Safi ya Kupikia

Watumishi wa Jeshi la Magereza wameipongeza na kuishukuru Serikali kwa kuwapatia majiko ya gesi ya Kilogramu 15 pamoja na majiko ya sahani mbili huku wakiahidi kuwa mabalozi wa kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia. Wakizungumza leo Julai 04, 2025 wakati wa hafla fupi ya kupokea mitungi hiyo ya gesi pamoja na majiko ya sahani

Watumishi Jeshi la Magereza waahidi kuwa Mabalozi wa Nishati Safi ya Kupikia Read More »

Nishati Safi ya kupikia ni ajenda ya Dunia, wizara inaitekeleza kwa vitendo – Dk. Kazungu

📌Apokea Magari Mawili kutoka Umoja wa Ulaya kwa ajili ya kuanza kampeni ya kutoa elimu ya uhamasishaji wa nishati safi ya kupikia nchi nzima 📌 Amshukuru Dkt Samia kwa kuwa kinara wa nishati safi na kuibeba ajenda hiyo 📌 Umoja wa Ulaya waridhishwa na jitihada za Tanzania kwenye kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia

Nishati Safi ya kupikia ni ajenda ya Dunia, wizara inaitekeleza kwa vitendo – Dk. Kazungu Read More »

SADC yaitaja Tanzania kinara utekelezaji ajenda ya nishati safi ya kupikia

📌 Rais Samia aendelea kupongezwa kwa kuwa kinara wa Nishati safi ya Kupikia Afrika 📌  Kapinga ataka mikakati, ubunifu utekelezaji nishati safi ya Kupikia Jumuiya ya  SADC 📌 Asisitiza uelimishaji matumizi ya nishati safi ya kupikia kupewa nguvu 📌 SADC yapongeza Tanzania mkutano wa Misheni 300 Rais Samia Suluhu Hassan ametajwa kuwa kinara namba moja

SADC yaitaja Tanzania kinara utekelezaji ajenda ya nishati safi ya kupikia Read More »

REA yaja na mpango kuwezesha ujenzi vituo vya mafuta vijijini

·       Mkopo wa hadi Shilingi Milioni 133 kwa riba ya 5%-7% kutolewa ·       Marejesho ni ndani ya Miaka 7 ·       Lengo ni kuhakikisha bidhaa za mafuta zinapatikana kwa gharama nafuu ·       Wananchi watakiwa kuchangamkia fursa Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleza mpango wa kuwezesha ujenzi na uendeshaji wa vituo vipya vidogo vya gharama nafuu vya bidhaa za

REA yaja na mpango kuwezesha ujenzi vituo vya mafuta vijijini Read More »