Habari

Suluhisho za kisasa za SICPA zinaongeza imani ya wateja na uadilifu wa soko

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na Shirika la Viwango Zanzibar (ZBS), limepata fursa ya kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa 72 na Vikao vya Baraza la Shirika la Kanda la Viwango Afrika (ARSO), visiwani Zanzibar vilivyoanza Juni 23 hadi 28 mwaka huu. Taarifa iliyotolewa na Alfred Mapunda, Mkurugenzi Mkuu wa SICPA Tanzania, imesema kuwa […]

Suluhisho za kisasa za SICPA zinaongeza imani ya wateja na uadilifu wa soko Read More »

CCM Kilombero yaipa kongole REA usambazaji umeme vijijini, vitongojini

Halmashauri Kuu ya Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro imeipongeza Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kufikisha umeme katika Vijijini vyote 110 vya Wilaya hiyo pamoja na Vitongoji 283 kati ya 458. Pongezi hizo zimetolewa jana na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kilombero, Mohamed Msuya wakati

CCM Kilombero yaipa kongole REA usambazaji umeme vijijini, vitongojini Read More »

Bunge laridhia marekebisho ya mpaka wa Hifadhi ya Taifa Nyerere

Bunge limeridhia ombi la Serikali la kumega sehemu ya Hifadhi ya Taifa ya Nyerere kwa lengo la kutatua migogoro ya mipaka na kuwezesha shughuli za maendeleo kuendelea katika mazingira rafiki kwa jamii na uhifadhi. Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk. Pindi Chana, akiwasilisha azimio hilo bungeni, amesema kuwa Serikali imeamua kumega eneo lenye ukubwa

Bunge laridhia marekebisho ya mpaka wa Hifadhi ya Taifa Nyerere Read More »

Rais Samia ameweka alama kwa watumishi wa Magereza Arusha, awagawia mitungi 528

📌Nishati safi ya kupikia ni endelevu 📌Yaelezwa ni salama na mkombozi wa mazingira Rais  Samia Suluhu Hassan ameacha  alama mkoani Arusha kwa kugawa mitungi ya gesi 528 na majiko yake kwa watumishi wa jeshi la magereza mkoani ili kuhamasisha matumizi ya nishati safi na salama nchini.  Hayo yamebainishwa leo Juni 25, 2025 na Mwenyekiti wa

Rais Samia ameweka alama kwa watumishi wa Magereza Arusha, awagawia mitungi 528 Read More »

Serikali yazidi kuhamasisha Nishati Safi, yatoa mitungi 225 kwa watumishi Gereza Kuu Maweni

📌Shilingi bilioni 35 kupeleka nishati safi magereza yote nchini 📌Mitungi ya gesi 653 kupatiwa watumishi magereza Tanga 📌Mha. Saidy asisitiza uhamasishaji wa matumizi ya nishati safi Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeendelea kuwezesha, kuhamasisha na kutoa elimu kuhusu umuhimu wa matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa watumishi wa magereza na wananchi ili

Serikali yazidi kuhamasisha Nishati Safi, yatoa mitungi 225 kwa watumishi Gereza Kuu Maweni Read More »

Kapinga: Sekta ya Nishati yachangia asilimia 14.4 ya Pato la Taifa 

📌Kapinga ampongeza Rais, Dk.  Samia kwa uwekezaji mkubwa katika Sekta ya Nishati 📌 Aeleza mafanikio yaliyofikiwa katika Umeme, Gesi Asilia na Mafuta 📌 Asisitiza kuwa Nishati ni moyo wa uchumi Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Sekta ya Nishati ni moja kati ya Sekta tatu nchini ambazo zimechangia ukuaji wa pato la Taifa katika kipindi

Kapinga: Sekta ya Nishati yachangia asilimia 14.4 ya Pato la Taifa  Read More »

Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini ahimiza ubunifu, weledi kwa watumishi

– Atembelea Banda la Tume ya Madini Katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Dodoma, Juni 23, 2025 Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Ramadhani Lwamo, na Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu na Utawala, Nsajigwa Kabigi, wametembelea banda la Tume ya Madini katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayohitimishwa leo katika viwanja vya

Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini ahimiza ubunifu, weledi kwa watumishi Read More »

Verified by MonsterInsights