Habari

Ifikapo 2034 asilimia 80 ya wananchi kutumia nishati safi ya kupikia

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, Shamimu Mwariko amesema kwa jitihada zinazoendelea kuchukuliwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024-2034) ni dhahiri kwamba lengo la asilimia 80 ya wananchi kutumia nishati hiyo litafikiwa ifikapo Mwaka 2034. Amesema hayo Agosti 15, 2025

Ifikapo 2034 asilimia 80 ya wananchi kutumia nishati safi ya kupikia Read More »

Waandishi wa habari watakiwa kudumisha maadili kuelekea Uchaguzi Mkuu

Waandishi wa habari nchini wametakiwa kuzingatia misingi, maadili na miiko ya taaluma hususan kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, ili kutoa taarifa sahihi na zisizoegemea upande wowote kwa ustawi wa jamii na Taifa. Wito huo umetolewa Agosti 14, 2025 jijini Dar es Salaam katika mafunzo ya siku moja ya Uandishi wa Habari za Uchaguzi

Waandishi wa habari watakiwa kudumisha maadili kuelekea Uchaguzi Mkuu Read More »

Rais Samia atambulika kinara huduma ya maji kwa tuzo ya juu ya kimataifa

Rais Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Tuzo ya Rais ya Kimataifa ya Wabunifu wa Mabadiliko katika Sekta ya Maji 2025 (Presidential Global Water Changemakers Award 2025), heshima kubwa inayotolewa na taasisi ya maji duniani, ( Global Water Partnership) kwa it ushirikiano na Umoja wa Afrika. Tuzo hiyo imetolewa rasmi na Rais Duma Boko wa Jamhuri ya

Rais Samia atambulika kinara huduma ya maji kwa tuzo ya juu ya kimataifa Read More »

Wananchi wa Mapili wamshukuru Rais Samia kwa mradi wa umeme wa REA

Wananchi wa Kijiji cha Mapili, Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuwawezesha kuboresha maisha yao kupitia mradi wa umeme uliotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Shukrani hizo zilitolewa Agosti 11, 2025, wakati wa kampeni maalum ya uhamasishaji wa matumizi ya umeme

Wananchi wa Mapili wamshukuru Rais Samia kwa mradi wa umeme wa REA Read More »

Lissu: Tunang’ang’ania Live Streaming ili dunia ione kinachoendelea

Mbunge wa zamani wa Singida Mashariki na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amesema kuwa upande wa utetezi unasistiza kuendelea kwa matangazo ya moja kwa moja (live streaming) ya mwenendo wa kesi ili umma na dunia kwa ujumla waone kinachoendelea mahakamani. “Mnachoruhusiwa kuficha ni kile alichokisema Jaji na si vingine. Wanataka kusogeza bahasha, kuingiza mambo ambayo hayapo

Lissu: Tunang’ang’ania Live Streaming ili dunia ione kinachoendelea Read More »

Mluya wa DP akishinda urais kufuta Kikokotoo,kuboresha maslahi ya watumishi

Mgombea urais kupitia tiketi ya Chama Cha Siasa cha Democratic Party (DP),Abdul Mluya,amesema endapo atapewa ridhaa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kugombea nafasi hiyo,moja ya kipaumbele chao ni kwenda kusimamia suala la Kikokotoo. Mluya ambaye aliambatana na mgombea mwenza Saodun Abraham Khatibu amesema hayo mara baada ya kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo

Mluya wa DP akishinda urais kufuta Kikokotoo,kuboresha maslahi ya watumishi Read More »

Watanzania tusikubali uchaguzi utugawe – Dk. Biteko

📌 Asema Kuna Maisha baada ya Uchaguzi 📌 Amwakilisha Rais Samia,miaka 40 Kanisa Anglikana Dayosisi ya Kagera 📌 Rais Samia achangia Tsh. Milioni 50 Ujenzi wa Kanisa Dayosisi ya Kagera 📌 Anglikana Waishukuru Serikali, washirika wa maendeleo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kuwapima wagombea wa nafasi mbalimbali

Watanzania tusikubali uchaguzi utugawe – Dk. Biteko Read More »