Habari

Bei ya kujaza Gesi (LPG) kwa matumizi ya kupikia ni himilivu – Kapinga

📌 Wizara ya Nishati na TAMISEMI zaendelea kushirikiana kuhakikisha  Shule mpya zinafungwa mifumo ya Nishati Safi ya Kupikia. Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema gharama ya kujaza gesi kwenye mitungi (LPG) ni himilivu ikiwa ni jitihada zinazoendelea kuchukuliwa na Serikali ili kuwezesha matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia. Kapinga ameyasema hayo leo Juni 16, […]

Bei ya kujaza Gesi (LPG) kwa matumizi ya kupikia ni himilivu – Kapinga Read More »

GEL yawanoa wanafunzi wanaokwenda masomoni nje ya nchi

ZAIDI ya wanafunzi 200 wanatarajiwa kusafiri kwenda masomoni kwenye mataifa mbalimbali kwa mwaka wa masomo wa 2025/2026 hivi karibuni kuanza pitia uratibu wa Global Education Link (GEL). Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki na Mkurugenzi wa GEL, Abdulmalick Mollel, wakati wa kikao baina ya wanafunzi hao na wazazi wao kuhusu kukamilisha taratibu za safari. Wanafunzi hao

GEL yawanoa wanafunzi wanaokwenda masomoni nje ya nchi Read More »

Puma Energy Tanzania yadhamini Mkutano wa Wadau wa Ukuaji wa Sekta ya Anga Afrika 2025 uliofanyika Zanzibar

ZANZIBAR, 2025: Puma Energy Tanzania imedhihirisha kujizatiti kwake katika kukuza sekta ya usafiri wa anga nchini kwa kudhamini Mkutano wa Wadau wa Ukuaji wa Sekta ya Anga Afrika mwaka 2025 unaojulikana kama AviaDev Africa, uliofanyika kuanzia tarehe 11 mpaka 13, Juni, katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar. Kupitia hotuba yake wakati wa tafrija ya jioni iliyohudhuriwa

Puma Energy Tanzania yadhamini Mkutano wa Wadau wa Ukuaji wa Sekta ya Anga Afrika 2025 uliofanyika Zanzibar Read More »

Tanzania yaharakisha malengo ya nishati safi ya kupikia ya 2034 kwa kuzindua kampeni

Wizara ya Nishati, kwa ushirikiano na Modern Energy Cooking Services (MECS) na UK International Development, wamezindua rasmi Kampeni ya kwanza ya Kitaifa ya Uhamasishaji wa Nishati ya Umem ya Kupikia (eCooking) nchini Tanzania. Mpango huo wa kihistoria ni sehemu ya Mpango wa MECS wa kukuza na kusaidia nishati ya umeme unaofadhiliwa na UKAid, ambao unatekelezwa

Tanzania yaharakisha malengo ya nishati safi ya kupikia ya 2034 kwa kuzindua kampeni Read More »

NMB yakabidhi Gawio la Bil. 68.1/- kwa Serikali, Msajili Hazina aipongeza

Ofisi ya Msajili wa Hazina, imeipongeza Benki ya NMB kwa kukabidhi gawio la Sh. Bilioni 68.1 kwa Mfuko Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kutokana na Faida Baada ya Kodi iliyopata Mwaka ulioishia Desemba 31, 2024 ya kiasi cha Sh. Bilioni 643. Pongezi hizo zimetolewa na Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu, wakati

NMB yakabidhi Gawio la Bil. 68.1/- kwa Serikali, Msajili Hazina aipongeza Read More »

Twange  aendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupika kwa umeme

Katika kuhakikisha elimu ya nishati safi ya kupikia inamfikia kila Mtanzania, Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Lazaro Twange ametumia sehemu ya ziara yake ya kukagua maendeleo ya miradi ya umeme katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa katika kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupika kwa umeme kwa viongozi wa Serikali za Mikoa na Wilaya ili kuongeza

Twange  aendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupika kwa umeme Read More »

Verified by MonsterInsights