Habari

Wanafunzi wa Vyuo waunda club ya Nishati safi kusaidia juhudi za kupunguza athari za nishati chafu vyuoni na jamii

Katika juhudi za kuendeleza kampeni za nishati safi nchini, Wanafunzi wa vyuo vine nchini wameungana ili kuwezesha usambazaji wa elimu na taarifa kuhusu nishati safi kwa wanafunzi wa vyuo mbali mbali na wananchi kwa jumla. Chini ya uongozi wa kampuni ya Taifa Gas Clean Cooking Unit, wanafunzi hao kutoka vyuo vya Dar es Salaam, Takwimu,

Wanafunzi wa Vyuo waunda club ya Nishati safi kusaidia juhudi za kupunguza athari za nishati chafu vyuoni na jamii Read More »

Fanyeni ukaguzi kwa weledi bila kumwonea mchimbaji yoyote – Mhandisi  Kamando

📌Wapendekeza maboresho Kanuni za Usalama, Afya na Utunzaji wa Mazingira pamoja na Sheria ya Baruti. Wakaguzi wa Migodi ya Madini  na Baruti wametakiwa kufanya kazi kwa weledi, kuongeza  ufanisi na kufuata  taratibu na sheria za nchi katika utoaji wa huduma. Hayo yamesemwa leo Mei 29, 2025 na Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Migodi na Mazingira, Mhandisi

Fanyeni ukaguzi kwa weledi bila kumwonea mchimbaji yoyote – Mhandisi  Kamando Read More »

Kapinga ataja vigezo vya ziada upelekaji umeme vitongojini

 📌 Lengo ni kuhakikisha kila Jimbo linakuwa na vitongoji vingi vilivyofikiwa na umeme  📌 Vinahusisha mahitaji ya kiuchumi na Kijamii, ukubwa wa Jimbo na Kitongoji   📌 Mkurugenzi Mkuu REA atakiwa kumsimamia kwa karibu Mkandarasi wa miradi ya Vitongoji Ziwa Tanganyika Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA)

Kapinga ataja vigezo vya ziada upelekaji umeme vitongojini Read More »

Mtaka: Tumekuja kuonesha mafanikio ya serikali ya CCM

“Sisi kama serikali tunapata fursa leo ya kuonyesha kwa wenye duka. Maana yake CCM ndio wenye duka. Tunakuja kuonyesha kwamba imani tuliyopewa sisi kama serikali kutekeleza mambo moja, mbili, tatu tumeyatekeleza. Ni fursa nzuri kwa wana CCM, wanachama, wapenzi na wakereketwa, kuwaonyesha Watanzania kwamba tuliahidi miaka mitano iliyopita ni kwa kiasio gani tumetekeleza,”Mkuu wa Mkoa

Mtaka: Tumekuja kuonesha mafanikio ya serikali ya CCM Read More »

PURE Growth Fund kufungua maombi ya miradi ya Kilimo na Nishati Safi Tanzania

Taasisi inayojihusisha na Ubia wa Nishati Jadidifu na Ufanisi wa Nishati (REEEP) inajivunia kutangaza kwamba Awamu ya kwanza ya kutuma Maombi na Mapendekezo kupitia mradi wa Mfuko wa PURE Growth Fund Tanzania sasa umefunguliwa rasmi. Mradi huu ni mpango wa kuleta mageuzi katika kukuza ‘Matumizi Yenye Tija ya Nishati Mbadala’ ndani ya mifumo ya kilimo cha chakula

PURE Growth Fund kufungua maombi ya miradi ya Kilimo na Nishati Safi Tanzania Read More »

Verified by MonsterInsights