Habari

NMB yaweka msingi wa ushirikiano imara na Serikali za Mitaa Mkutano wa 25 wa LVRLAC

Benki ya NMB imethibitisha dhamira yake ya kuunga mkono maendeleo ya serikali za mitaa kwa kudhamini Mkutano Mkuu wa 25 wa Jumuiya ya Mamlaka za Serikali za Mitaa Ukanda wa Ziwa Viktoria (LVRLAC), uliofanyika jijini Mwanza. Akitembelea banda la NMB katika mkutano huo, Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali […]

NMB yaweka msingi wa ushirikiano imara na Serikali za Mitaa Mkutano wa 25 wa LVRLAC Read More »

Tanzania kuanza mapinduzi ya Cold Chain kwa mazao yanayoharibika haraka – Mkutano mkubwa kufanyika Dar

Mkutano huo utafanyika siku ya Jumatatu, tarehe 2 Juni 2025, jijini Dar es Salaam, kuanzia saa 4:00 asubuhi hadi saa 1:00 jioni. Tukio hilo litawakutanisha viongozi wa juu wa serikali wakiwemo mawaziri kutoka wizara za Kilimo, Biashara, Mifugo na Uvuvi, pamoja na Uchukuzi, sambamba na wadau kutoka sekta binafsi, mashirika ya maendeleo, wauzaji wa bidhaa nje ya nchi, watoa huduma za usafirishaji,

Tanzania kuanza mapinduzi ya Cold Chain kwa mazao yanayoharibika haraka – Mkutano mkubwa kufanyika Dar Read More »

Wanafunzi: Tunataka CHADEMA tushiriki uchaguzi mkuu

“Peoples, sisi kama wanafunzi, wanafunzi wa vyuo vikuu na vyuo vya kati, tulitegemea tukiitwa kwenye mkutano. Mkutano wa chama chetu tupewe strategies, tupewe mikakati, tupewe mbinu jinsi gani tutachukua serikali, tutachukua dola. Toka nimefika kwenye chuo changu tutengeneze hata mbinu ya kuwa mwanachama hai hakuna kitu kama hicho. Lakini kule wenzetu chama tawala tunaogana mara

Wanafunzi: Tunataka CHADEMA tushiriki uchaguzi mkuu Read More »

Serikali imetoa ruzuku ya asilimia 20 hadi 50 kwenye mitungi ya gesi  laki 4.4 – Kapinga

📌 Asema lengo ni kupunguza gharama na kuhamasisha Nishati Safi ya Kupikia 📌  REA kusambaza majiko banifu 200,000 kwa punguzo la hadi asilimia 75 📌 Baada ya umeme kufika kwenye vijiji vyote; Serikali kuendelea kuhamasisha matumizi ya majiko ya umeme Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali imetoa ruzuku ya asilimia 20 hadi 50

Serikali imetoa ruzuku ya asilimia 20 hadi 50 kwenye mitungi ya gesi  laki 4.4 – Kapinga Read More »

Chuo cha MUHAS kuanza mafunzo maalum kwa wakufunzi wa Gym na wasimamizi wa kumbi za mazoezi

CHUO Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kinatarajia kuanza kutoa mafunzo maalum ya kitaalamu kwa wakufunzi wa mazoezi ya viungo (gym instructors) na wasimamizi wa kumbi za mazoezi (fitness managers),ili kuhakikisha wanakuwa na uwezo wa kuwahudumia wateja wanaopelekwa kufanya mazoezi kwa sababu za kitabibu. Akizungumza leo Mei21,2025 wakati wa uzinduzi wa kambi ya

Chuo cha MUHAS kuanza mafunzo maalum kwa wakufunzi wa Gym na wasimamizi wa kumbi za mazoezi Read More »

Mwanaharakati wa Kenya aachiwa na kurudi kwao

Mwanaharakati maarufu wa Kenya, Boniface Mwangi, ameachiwa huru na kurudishwa kwao baada ya kushikiliwa kwa siku kadhaa na vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania. Mwangi alisindikizwa kutoka Tanzania hadi Ukunda nchini Kenya na kuachiwa akiwa salama salmini. Serikali ya Kenya na familia yake wamethibitisha kurejea kwake. Mwanaharakati huyu mwenye historia ya kuhamasisha machafuko nchini

Mwanaharakati wa Kenya aachiwa na kurudi kwao Read More »

Verified by MonsterInsights