Habari

REB wasisitiza wakandarasi kukamilisha miradi umeme vijijini kwa wakati

📌 Msisitizo watolewa kuongeza uunganishaji wa huduma ya umeme kwa Wananchi kwenye maeneo Miradi ilipokamilika Wajumbe wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB) wametoa wito kwa Wakandarasi wanaojenga Miradi ya umeme vijijini katika mkoa wa Kilimanjaro husasan wilaya ya Mwanga, Same na Hai mkoani humo kufanya kazi kwa haraka ili kukamilisha Miradi ya usambazaji wa nishati

REB wasisitiza wakandarasi kukamilisha miradi umeme vijijini kwa wakati Read More »

Upanuzi wa kituo cha kupoza umeme Mbagala mbioni kukamilika 

📌Awamu ya kwanza ya upanuzi wa Kituo Megawati 45 yakamilika  📌Asema wananchi wa Mbagala na Temeke watapata umeme wa uhakika. 📌Awataka wananchi wa Mbagala kuendelea kuwa wavumilivu wakati wa utekelezaji wa Mradi Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Lazaro Twange amesema wananchi wa maeneo ya Mbagala na viunga vyake sasa wanatarajia kupata umeme

Upanuzi wa kituo cha kupoza umeme Mbagala mbioni kukamilika  Read More »

Air France-KLM yamtangaza Joris Holtus Meneja Mkuu Afrika Mashariki, Kusini, Nigeria na Ghana

Kampuni ya ndege ya Air France-KLM imemtangaza Joris Holtus kuwa Meneja Mkuu mpya anayesimamia shughuli za kampuni hiyo katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini, pamoja na nchi za Nigeria na Ghana. Uteuzi huu unaanza kutekelezwa mara moja, ambapo Holtus anachukua nafasi ya Marius van der Ham aliyeongoza eneo hilo kwa mafanikio kwa kipindi cha

Air France-KLM yamtangaza Joris Holtus Meneja Mkuu Afrika Mashariki, Kusini, Nigeria na Ghana Read More »

Zaidi ya nyumba 800 Mtwara kuunganishwa na mfumo wa gesi ya kupikia- Kapinga 

“Katika Mkoa wa Mtwara, Serikali imeshapeleka miundombinu ya usambazaji gesi asilia katika baadhi ya maeneo ambapo jumla ya nyumba 425 na Taasisi nne (4) zimeunganishwa na mtandao wa matumizi ya gesi asilia katika maeneo ya Mtwara mjini.”  amesema  Kapinga Ameongeza kuwa,  katika nyumba hizo 865 zitakazounganishwa na mfumo,  Serikali imeshafanya usanifu wa kihandisi kwa ajili

Zaidi ya nyumba 800 Mtwara kuunganishwa na mfumo wa gesi ya kupikia- Kapinga  Read More »

REB yatembelea Gereza la Maweni na kupongeza juhudi za matumizi ya Nishati Safi ya kupikia

📌 Utekelezaji wa Mradi wa Nishati Safi wenye thamani ya shilingi Bilioni 35 kuanza mwezi Desemba mwaka huu Bodi ya Nishati Vijijini (REB) imerishishwa na juhudi zilizochukuliwa na Magereza mkoa wa Tanga kwa kuanza kutumia Nishati Safi ya Kupikia katika kuandaa chakula cha Wafungwa wa zaidi ya 560 tofauti na hapo awali ambapo matumizi ya

REB yatembelea Gereza la Maweni na kupongeza juhudi za matumizi ya Nishati Safi ya kupikia Read More »

Serikali inaboresha miundombinu ya umeme Kibiti kuondoa tatizo kukatika umeme

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inatekeleza miradi mbalimbali ya matengenezo na ukarabati wa njia za kusafirisha na kusambaza umeme katika Wilaya ya Kibiti ili kuondokana na tatizo la kukatika kwa umeme kunakotokana na uchakavu wa miundombinu hiyo. Kapinga ameyasema hayo leo Mei 12, 2025 Bungeni Jijini

Serikali inaboresha miundombinu ya umeme Kibiti kuondoa tatizo kukatika umeme Read More »

Wachimbaji Geita wampongeza Rais Samia mafanikio makubwa sekta ya madini

▪️Wachimbaji Madini wapongeza upatikanaji wa Leseni na mazingira rafiki ya biashara ▪️Waziri Mavunde aainisha mafanikio 16 ya Rais Samia kwenye sekta ya Madini ▪️Aagiza uanzishwaji wa Soko la Dhahabu Katoro ▪️RC Shigela aja na mikakati mizito ya kupaisha sekta ya madini Geita Katoro,Geita Wachimbaji na Wafanyabiashara wa Madini wa Mkoa wa Geita wamempongeza Rais Dk.

Wachimbaji Geita wampongeza Rais Samia mafanikio makubwa sekta ya madini Read More »

Verified by MonsterInsights