Habari

NMB yaandika historia;Benki Bora kwa Uendelevu Barani Afrika

Dar es Salaam Benki ya NMB inatangaza mafanikio ya kihistoria ya ushindi wa tuzo sita za kimataifa kutoka kwa majarida mawili mashuhuri duniani – jarida la Euromoney linalochapishwa London, Uingereza, na Global Banking & Finance Magazine lenye makao makuu yake New Jersey, Marekani. Ushindi huu mkubwa unaashiria kutambuliwa kwa ubora wa huduma, ubunifu na mchango […]

NMB yaandika historia;Benki Bora kwa Uendelevu Barani Afrika Read More »

Dk. Ndumbaro asisitiza mafunzo ya utawala bora, uraia na Uchaguzi Mkuu

Wizara ya Katiba na Sheria, imeanzisha program ya kutoa mafunzo ya utatuzi wa migogoro kwa njia mbadala ambapo wajumbe na mabalozi 2,200 kutoka kata 11 za jimbo la Songea mkoani Ruvuma wamenufaika. Mafunzo hayo yalifunguliwa jana wilayani hapa na Waziri wa  Sheria na Katiba, Dk Damas Ndumbaro na yanatarajiwa kuwanufaika mabalozi na wajumbe wa maeneo

Dk. Ndumbaro asisitiza mafunzo ya utawala bora, uraia na Uchaguzi Mkuu Read More »

Mwenyekiti REB apongeza Gereza Songea kuzalisha mkaa mbadala

Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Balozi Meja Jenerali (mstaafu), Jacob Kingu amelipongeza Gereza la Songea kwa kuanza uzalishaji wa mkaa mbadala kwa ajili ya kupikia. Mwenyekiti Kingu ametoa pongezi hizo leo wakati wa ziara yake katika Mkoa Ruvuma iliyolenga kutembelea na kukagua mifumo ya nishati safi ya kupikia katika Magereza iliyowezeshwa na Wakala

Mwenyekiti REB apongeza Gereza Songea kuzalisha mkaa mbadala Read More »

Uzalishaji maji waongezeka kwa 7%

Taarifa ya Utendaji wa Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira kwa mwaka 2023/2024 iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imeonesha ongezeko kubwa katika uzalishaji na usambazaji wa huduma ya maji nchini. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, uzalishaji wa maji umeongezeka hadi kufikia mita za ujazo milioni 685, sawa

Uzalishaji maji waongezeka kwa 7% Read More »

Mkutano wa 14 wa Baraza la Usimamizi wa Mkataba wa Lusaka kuanza kesho Arusha

Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 14 wa Baraza la Usimamizi wa Mkataba wa Lusaka (14TH Governing Council Meeting of Parties to the Lusaka Agreement) utakaofanyika jijini Arusha katika Hoteli ya Gran Melia kuanzia Mei 8,2025. Hayo yamesemwa leo Mei 7,2025 jijini Arusha na Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk.Pindi Chana wakati akizungumza

Mkutano wa 14 wa Baraza la Usimamizi wa Mkataba wa Lusaka kuanza kesho Arusha Read More »

Verified by MonsterInsights