Habari

REA yakamilisha kufikisha umeme vijiji vyote 523 Lindi

📌 Shilingi Bilioni 186.4 zatumika 📌 Wananchi wasisitizwa kulinda miundombinu ya umeme 📌 Vitongoji 1481 kati ya 2406  tayari vimefikishiwa umeme Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wamekabidhi rasmi Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack Vijiji vyote 523 ambavyo tayari vimefikishiwa umeme. Akizungumza wakati wa hafla hiyo iliyofanyika leo Mei 7, 2025 katika Ofisi ya […]

REA yakamilisha kufikisha umeme vijiji vyote 523 Lindi Read More »

Puma Energy Tanzania yakabidhi zawadi shindano la uchoraji kampeni ya Usalama Barabarani Mashuleni

Dar es Salaam: Mei 7, 2025. Kampuni ya Puma Energy Tanzania kwa kushirikiana na shirika la Amend Tanzania wamekabidhi zawadi kwa washindi wa shindano la usalama barabarani ambalo ni sehemu muhimu ya programu ya ‘Be Road Safe Africa.’ Hafla hiyo ni kielelezo cha mafanikio ya kampeni ya elimu ya usalama barabarani iliyobuniwa kuhamasisha matumizi bora ya barabara

Puma Energy Tanzania yakabidhi zawadi shindano la uchoraji kampeni ya Usalama Barabarani Mashuleni Read More »

Amref Tanzania yaadhimisha Siku ya Mkunga Duniani 2025

Shinyanga, Tanzania — Katika kuadhimisha Siku ya Mkunga Duniani kitaifa iliyofanyika mkoani Shinyanga, Shirika la Amref Health Africa Tanzania limeeleza mafanikio makubwa ya Mradi wa Thamini Uzazi Salama, unaolenga kuboresha huduma za afya ya uzazi kwa wanawake na watoto wachanga kupitia uwezeshaji wa wakunga na wahudumu wa afya ngazi ya jamii. Akizungumza katika maadhimisho hayo

Amref Tanzania yaadhimisha Siku ya Mkunga Duniani 2025 Read More »



Dkt. Biteko aweka Jiwe la Msingi Ujenzi Kiwanda cha Nguzo za Zege 📌Awataka wananchi Tabora kutogawanyika wakati Uchaguzi Mkuu 📌Asema maono ya Rais Samia ni viongozi kuwasaidia wananchi Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa

 Read More »

Watesi wa Padri Kitima hawa hapa

Ilisemwa damu ya mtu haimwagiki bure, hata kabla jogoo hajawika, tayari waliohusika na kuvamiwa na kupigwa kwa Katibu Wa Baraza la Maaskofu (TEC) Padri Charles Kitima, wameanza kujitanabahisha na kuthibitisha nia yao ovu dhidi ya mama Tanzania. Kundi hilo lililolenga kuzua taharuki kubwa nchini, halikuridhishwa na taarifa fupi iliyotolewa jana na Baraza la Maaskofu kuhusu

Watesi wa Padri Kitima hawa hapa Read More »

Nyongeza ya mshahara yapokelewa kwa shangwe na wafanyakazi, Njombe

Na Happiness Shayo, Ludewa Wafanyakazi wilayani Ludewa, mkoani Njombe, wamepokea kwa shangwe na furaha nyongeza ya mshahara kwa watumishi wa umma, iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan. Akizungumza katika maadhimisho Siku ya Wafanyakazi Duniani wilayani humo, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Balozi Pindi Chana, amesema Rais Samia

Nyongeza ya mshahara yapokelewa kwa shangwe na wafanyakazi, Njombe Read More »

Verified by MonsterInsights