Habari

Waziri Chana akutana na Sekretarieti ya Mkataba wa Lusaka 

Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk. Pindi Chana amekutana na kufanya mazungumzo na Sekretarieti ya mkataba wa Lusaka (Lusaka Agreement) kuhusu Mkutano wa 14 wa Baraza la Usimamizi wa Mkataba wa Lusaka(LATF) unaotarajiwa kufanyika jijini Arusha kuanzia Mei 6-8, 2025. Akizungumza katika kikao hicho kilichofanyika Ofisi za Wizara ya Maliasili na Utalii jijini Dodoma

Waziri Chana akutana na Sekretarieti ya Mkataba wa Lusaka  Read More »

Mrema: Mwenye ushahidi wa kikao kilichoamua CHADEMA izuie uchaguzi aulete

Mkurugenzi wa zamani wa Itifaki na Mawasiliano wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mrema, amesema hakuna vikao vya Kamati Kuu na Mkutano Mkuu wa chama hicho viliyoazimia kuzuia uchaguzi. Mrema ameyasema hayo katika mtandao wake wa X zamani Twitter alipokuwa anamjibu Mwanasheria Mkuu wa chama chao, Dr. Rugemeleza Nshala, baada ya kusisitiza kuwa

Mrema: Mwenye ushahidi wa kikao kilichoamua CHADEMA izuie uchaguzi aulete Read More »

Waziri Kabudi ampongeza mjasiriamali aliyenufaika na mafunzo ya SDF

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi ameeleza kufurahishwa kwake na mjasiriamali aliyenufaika na mafunzo ya kuendeleza ujuzi kupitia Mfuko wa  SDF wa Mamlaka ya Elimu Tanzania TEA. Esther Shebe ambaye amenufaika na mafunzo ya kuendeleza ujuzi kupitia Mfuko wa Kuendeleza Ujuzi (SDF) wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) anavyotengeneza bidhaa mbalimbali.

Waziri Kabudi ampongeza mjasiriamali aliyenufaika na mafunzo ya SDF Read More »

Dhamira ya Serikali kutekeleza mradi mkubwa kuchakata, kusindika LNG

📌 Asema kiu ya Serikali ni kuona mradi unatekelezwa ila maslahi ya Taifa ndiyo kipaumbele 📌 Alieleza Bunge hatua zinazochukuliwa na Serikali kuhamasisha ujenzi wa vituo vya gesi (CNG) na matumizi 📌 Aeleza kuhusu kuundwa kwa Timu kuangalia unafuu wa gharama za umeme kwa Wananchi 📌 Kapinga azungumzia kazi za kupeleka umeme wa Gridi Rukwa,

Dhamira ya Serikali kutekeleza mradi mkubwa kuchakata, kusindika LNG Read More »

Tuzo ya Kijana Mwenye Ushawishi Barani Afrika yamfikia Rais Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Samia Suluhu Hassan katika Picha ya pamoja na Mtanzania Steven Magombeka Maarufu Kama Kasampaida ambae hivi karibuni alishinda Tuzo ya Vijana Wenye Ushawishi Barani Afrika, akikabidhi Tuzo hiyo kwa Rais Ikulu ya Chamwino Dodoma leo April 29,2025. Itakumbukwa Kijana Magombeka alishinda Tuzo hiyo tarehe 12 ya mwezi

Tuzo ya Kijana Mwenye Ushawishi Barani Afrika yamfikia Rais Samia Read More »

CBE yawakumbuka wenye uoni hafifu na usikivu hafifu Shule ya Benjamin Mkapa

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimetoa msaada wa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya shilingi milioni 4.4 kwa shule ya elimu jumuishi ya Benjamin Mkapa ya jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa msaada huo ni mashine ya kukuzia maandishi kwa wanafunzi wenye uoni hafifu, vifaa vya kusaidia usikivu kwa wenye usikivu hafifu (hearing aid) na

CBE yawakumbuka wenye uoni hafifu na usikivu hafifu Shule ya Benjamin Mkapa Read More »

Verified by MonsterInsights