Habari

Rais Samia ameweka alama kwa watumishi wa Magereza Arusha, awagawia mitungi 528

📌Nishati safi ya kupikia ni endelevu 📌Yaelezwa ni salama na mkombozi wa mazingira Rais  Samia Suluhu Hassan ameacha  alama mkoani Arusha kwa kugawa mitungi ya gesi 528 na majiko yake kwa watumishi wa jeshi la magereza mkoani ili kuhamasisha matumizi ya nishati safi na salama nchini.  Hayo yamebainishwa leo Juni 25, 2025 na Mwenyekiti wa

Rais Samia ameweka alama kwa watumishi wa Magereza Arusha, awagawia mitungi 528 Read More »

Serikali yazidi kuhamasisha Nishati Safi, yatoa mitungi 225 kwa watumishi Gereza Kuu Maweni

📌Shilingi bilioni 35 kupeleka nishati safi magereza yote nchini 📌Mitungi ya gesi 653 kupatiwa watumishi magereza Tanga 📌Mha. Saidy asisitiza uhamasishaji wa matumizi ya nishati safi Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeendelea kuwezesha, kuhamasisha na kutoa elimu kuhusu umuhimu wa matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa watumishi wa magereza na wananchi ili

Serikali yazidi kuhamasisha Nishati Safi, yatoa mitungi 225 kwa watumishi Gereza Kuu Maweni Read More »

Kapinga: Sekta ya Nishati yachangia asilimia 14.4 ya Pato la Taifa 

📌Kapinga ampongeza Rais, Dk.  Samia kwa uwekezaji mkubwa katika Sekta ya Nishati 📌 Aeleza mafanikio yaliyofikiwa katika Umeme, Gesi Asilia na Mafuta 📌 Asisitiza kuwa Nishati ni moyo wa uchumi Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Sekta ya Nishati ni moja kati ya Sekta tatu nchini ambazo zimechangia ukuaji wa pato la Taifa katika kipindi

Kapinga: Sekta ya Nishati yachangia asilimia 14.4 ya Pato la Taifa  Read More »

Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini ahimiza ubunifu, weledi kwa watumishi

– Atembelea Banda la Tume ya Madini Katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Dodoma, Juni 23, 2025 Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Ramadhani Lwamo, na Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu na Utawala, Nsajigwa Kabigi, wametembelea banda la Tume ya Madini katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayohitimishwa leo katika viwanja vya

Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini ahimiza ubunifu, weledi kwa watumishi Read More »

Kongamano fursa za ajira CBE laibua fursa kwa wanafunzi

Wizara ya Viwanda na Biashara imeweka mkakati wa kuhakikisha kuwa taasisi za elimu zinatoa mafunzo yanayozalisha wahitimu wenye uwezo wa kuzalisha ajira kwa wengine badala ya kusubiri kuajiriwa. Kauli hiyo aliitoa Naibu Waziri wa wizara hiyo, Exaud Kigahe mwishoni mwa wiki wakati wa kongamano la kuimarisha fursa za ajira na maendeleo endelevu ya Tanzania kaulimbiu

Kongamano fursa za ajira CBE laibua fursa kwa wanafunzi Read More »