Naibu Waziri Mkuu Dk. Biteko akemea migogoro Arusha
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka viongozi kote nchini kuweka maslahi ya wananchi mbele na kuacha migogoro inayotokana na ubinafsi wao. “Hawa Watanzania hawataki migogoro yetu sisi viongozi na wakati mwingine migogoro tuliyonayo ni migogoro ya maslahi binafsi. Tumeacha kuwahudumia wananchi tunashughulikiana, tunataka huyu akwame, huyu afanikiwe kwa sababu tuna […]
Naibu Waziri Mkuu Dk. Biteko akemea migogoro Arusha Read More »