Habari

Papa Francis afanya mapinduzi ya kiroho katika mpangilio wa mazishi yake

Katika ishara ya kina ya unyenyekevu na maisha ya kujitoa kwa Kristo, Baba Mtakatifu Francis ameidhinisha mpango wa mazishi yake kuwa wa kawaida, usio na fahari, kinyume na utaratibu wa muda mrefu wa Kanisa Katoliki kwa mapapa waliomtangulia. Mazishi ya Mapapa kwa kawaida ni tukio la heshima ya juu, likihusisha taratibu za kifalme na ishara

Papa Francis afanya mapinduzi ya kiroho katika mpangilio wa mazishi yake Read More »

Usiyoyajua kuhusu Hayati Mchungaji Dk Getrude Rwakatare

….Alisaidia mahabusu 150 kuachiwa huru……..Alitumia utajiri wake kusomesha maelfu kutoka kaya maskini KANISA la Mlima wa Moto la Mikocheni jijini Dar es Salaam, limeendelea kuenzi kazi nzuri zilizokuwa zikifanywa na mwasisi wake Hayati Askofu Dk. Getrude Rwakatare ikiwemo kuombea amani ya nchi na viongozi wake. Hayo yalisemwa jana Jumapili na Askofu wa Kanisa hilo, Rose

Usiyoyajua kuhusu Hayati Mchungaji Dk Getrude Rwakatare Read More »

Askofu Mwaikali: Tuitetee amani nchini ndiyo msingi wa maendeleo

Askofu wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki KKAM Nyanda za Juu Kusini, Dk Edward  Mwaikali amewataka Watanzania kuliombea Taifa liendelee kuwa salama kutokana na tukio kubwa la uchaguzi mkuu linalotarajiwa kufanyika mwaka huu. Aidha amewaomba Wakristo, wakiwamo waumini wa Usharika wa Ruanda, jijini Mbeya kujitokeza kwa wingi kuchukua fomu kugombea urais, ubunge na udiwani kupitia

Askofu Mwaikali: Tuitetee amani nchini ndiyo msingi wa maendeleo Read More »

Kanuni za maadili zachapishwa rasmi, maandalizi ya uchaguzi yashika kasi

Kanuni za maadili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 zimetangazwa rasmi kwenye gazeti la serikali na hivyo kuzipa nguvu ya kisheria zianze kutumika. Hatua hii inairuhusu Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuendelea na michakato mingine ya uchaguzi mkuu kwa vyama 18 vilivyosaini tarehe 12 Aprili mwaka huu, jijini Dodoma. Sehemu za kanuni hizo,

Kanuni za maadili zachapishwa rasmi, maandalizi ya uchaguzi yashika kasi Read More »

Wananchi Ludewa watakiwa kuwa mabalozi katika uhifadhi wa misitu

Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk. Pindi Chana amewataka wananchi Ludewa kuwa mabalozi katika uhifadhi wa misitu na mazingira na kudhibiti moto kwa manufaa ya kizazi cha sasa na baadae. Ameyasema hayo leo alipokuwa akifungua semina ya kujengeana uwezo kuhusu uhifadhi wa misitu na mazingira na njia za kuzuia na kudhibiti moto iliyofanyika katika

Wananchi Ludewa watakiwa kuwa mabalozi katika uhifadhi wa misitu Read More »

Verified by MonsterInsights