Habari

Wananchi Ludewa watakiwa kuwa mabalozi katika uhifadhi wa misitu

Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk. Pindi Chana amewataka wananchi Ludewa kuwa mabalozi katika uhifadhi wa misitu na mazingira na kudhibiti moto kwa manufaa ya kizazi cha sasa na baadae. Ameyasema hayo leo alipokuwa akifungua semina ya kujengeana uwezo kuhusu uhifadhi wa misitu na mazingira na njia za kuzuia na kudhibiti moto iliyofanyika katika

Wananchi Ludewa watakiwa kuwa mabalozi katika uhifadhi wa misitu Read More »

IMF yafikia makubaliano ya awali na Tanzania, dola milioni 441 kusaidia uchumi

Shirika la Fedha Duniani (IMF) limetangaza kuwa limefikia makubaliano ya awali na Serikali ya Tanzania, ambayo yakipitishwa rasmi na bodi ya IMF, yataiwezesha nchi hiyo kupata takriban dola milioni 441 kwa ajili ya kuimarisha uchumi wake. Fedha hizo ni sehemu ya mapitio ya tano ya Mpango wa Mikopo ya Muda Mrefu kupitia Dirisha la ECF

IMF yafikia makubaliano ya awali na Tanzania, dola milioni 441 kusaidia uchumi Read More »

Waziri Kikwete: Mfumo mpya kuwezesha Watanzania kupata fursa za ajira nje ya nchi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete, amesema katika mwaka wa fedha 2025/26, Serikali itaanza kutumia Mfumo wa kieletroniki ambao utawezesha watanzania kupata taarifa kuhusu fursa za ajira zilizopo nje ya nchi. Amesema, mfumo huo pia utaisaidia Serikali kupata taarifa za Watanzania wanaokwenda kufanya

Waziri Kikwete: Mfumo mpya kuwezesha Watanzania kupata fursa za ajira nje ya nchi Read More »

Waziri Mavunde aingilia kati utekelezaji miradi ya CSR Geita

▪️📌Ataka taarifa kamili ndani ya siku tatu ya mpango wa utekelezaji CSR ▪️📌Miradi ya 2018-2021 kukamilishwa ▪️📌Fedha zilizotengwa na GGM kwa miradi kutumika zote ▪️📌RC Shigela ahimiza ushirikiano wa karibu wa GGM na Serikali Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ameongoza kikao cha kujadili utekelezaji wa miradi ya Mpango wa Uwajibikaji wa Mmiliki wa Leseni kwa

Waziri Mavunde aingilia kati utekelezaji miradi ya CSR Geita Read More »

Mwenyekiti UWT Morogoro atoa wito watoto wapelekwe masomo ya dini

MWENYEKITI wa Umoja wa Wazazi Mkoa wa Morogoro (UWT), Dk. Kellen-Rose Rwakatare amewataka wazazi nchini kujenga utamaduni wa kuwapeleka watoto wao kwenye masomo ya dini nyakati za jioni baada ya masomo ya mchana shuleni badala ya kubaki wakizagaa mitaani. Aliyasema hayo mwishoni mwa wiki wakati alipokabidhi shiilingi milioni 1 kwa ajili ya ujenzi wa madirisha

Mwenyekiti UWT Morogoro atoa wito watoto wapelekwe masomo ya dini Read More »

Verified by MonsterInsights