Habari

Waziri Kikwete: Mfumo mpya kuwezesha Watanzania kupata fursa za ajira nje ya nchi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete, amesema katika mwaka wa fedha 2025/26, Serikali itaanza kutumia Mfumo wa kieletroniki ambao utawezesha watanzania kupata taarifa kuhusu fursa za ajira zilizopo nje ya nchi. Amesema, mfumo huo pia utaisaidia Serikali kupata taarifa za Watanzania wanaokwenda kufanya

Waziri Kikwete: Mfumo mpya kuwezesha Watanzania kupata fursa za ajira nje ya nchi Read More »

Waziri Mavunde aingilia kati utekelezaji miradi ya CSR Geita

▪️📌Ataka taarifa kamili ndani ya siku tatu ya mpango wa utekelezaji CSR ▪️📌Miradi ya 2018-2021 kukamilishwa ▪️📌Fedha zilizotengwa na GGM kwa miradi kutumika zote ▪️📌RC Shigela ahimiza ushirikiano wa karibu wa GGM na Serikali Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ameongoza kikao cha kujadili utekelezaji wa miradi ya Mpango wa Uwajibikaji wa Mmiliki wa Leseni kwa

Waziri Mavunde aingilia kati utekelezaji miradi ya CSR Geita Read More »

Mwenyekiti UWT Morogoro atoa wito watoto wapelekwe masomo ya dini

MWENYEKITI wa Umoja wa Wazazi Mkoa wa Morogoro (UWT), Dk. Kellen-Rose Rwakatare amewataka wazazi nchini kujenga utamaduni wa kuwapeleka watoto wao kwenye masomo ya dini nyakati za jioni baada ya masomo ya mchana shuleni badala ya kubaki wakizagaa mitaani. Aliyasema hayo mwishoni mwa wiki wakati alipokabidhi shiilingi milioni 1 kwa ajili ya ujenzi wa madirisha

Mwenyekiti UWT Morogoro atoa wito watoto wapelekwe masomo ya dini Read More »

Kapinga asema kipaumbele cha serikali ni kufikisha umeme kwenye taasisi zote

📌 Taasisi 1,272 zaunganishwa na umeme  Lindi 📌  Maeneo ya pembezoni mwa miji kuendelea kuguswa na miradi ya umeme Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema kipaumbele cha Serikali ni kuhakikisha taasisi zote zinazotoa huduma za kijamii, kiuchumi na kidini zinafikiwa na nishati ya umeme wakati wa utekelezaji wa miradi ya umeme Vijijini. Kapinga ameyasema

Kapinga asema kipaumbele cha serikali ni kufikisha umeme kwenye taasisi zote Read More »

Verified by MonsterInsights