Habari

Puma Energy Tanzania, Amend Tanzania wazindua kampeni ya usalama barabarani kwa wanafunzi

Puma Energy Tanzania kwa kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali la Amend Tanzania, imezindua rasmi awamu ya pili ya kampeni ya ‘Be Road Safe Africa’, mpango wa kimkakati wa usalama barabarani unaolenga kuwawezesha watoto na kuongeza uelewa wa usalama barabarani katika jamii zao. Awamu hii ya pili inalenga kufikia shule tano za msingi zilizopo maeneo

Puma Energy Tanzania, Amend Tanzania wazindua kampeni ya usalama barabarani kwa wanafunzi Read More »

Jussa: Hatutakubali Chama kuvurugwa kwa maslahi binafsi

Zanzibar — Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa, amesema chama hicho hakitavumilia kuona baadhi ya wanachama wakikivuruga kwa maslahi binafsi ya kutafuta nafasi za Ubunge na Uwakilishi, huku wakipuuza dhamira ya muda mrefu ya kuwania nafasi ya Urais Zanzibar. Jussa amesema chama hicho kilianzishwa kwa misingi ya kuleta mabadiliko ya kweli katika

Jussa: Hatutakubali Chama kuvurugwa kwa maslahi binafsi Read More »

Vitongoji 9000 kusambaziwa Umeme Mwaka  2025/2026- Kapinga

📌 Majimbo yaendelea kufaidika na mradi wa umeme wa Vitongoji 15. Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imekamilisha kazi ya kupeleka umeme kwenye Vijiji vyote Tanzania Bara na nguvu sasa inaelekezwa kwenye vitongoji. Mhe. Kapinga ameeleza kuwa, pamoja na kazi ya kupeleka umeme vitongojini inayoendelea sasa,

Vitongoji 9000 kusambaziwa Umeme Mwaka  2025/2026- Kapinga Read More »

Serikali yaanzisha mwongozo wa Autism, yaanza kuwafundisha walimu 4,000

Serikali imeanza kutoa mafunzo kwa walimu 4,000 wa shule za msingi na sekondari ili kuwawezesha kutambua mapema dalili za matatizo ya usonji (Autism Spectrum Disorders – ASD) kwa watoto. Dkt. Omary Ubuguyu, Mkurugenzi Msaidizi wa Magonjwa Yasiyoambukiza na Afya ya Akili katika Wizara ya Afya, alitoa taarifa hiyo Jumatano wiki hii katika kongamano la 13

Serikali yaanzisha mwongozo wa Autism, yaanza kuwafundisha walimu 4,000 Read More »

Lissu alegeza masharti kuhusu CHADEMA kushiriki Uchaguzi Mkuu

Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amelegeza masharti kuhusu chama hicho, kushiriki uchaguzi akitaka mambo sita yafanyikie ili waingie katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Lissu ametaja mambo hayo ni kubadilishwa kwa mfumo wa uchaguzi ili kusiwe na mgombea anayepita bila kupingwa, watoto wadogo wasiandikishwe kwenye daftari la kudumu la mpigakura, kukomeshwa engua engua ya

Lissu alegeza masharti kuhusu CHADEMA kushiriki Uchaguzi Mkuu Read More »

Verified by MonsterInsights