Habari

Serikali yaanzisha mwongozo wa Autism, yaanza kuwafundisha walimu 4,000

Serikali imeanza kutoa mafunzo kwa walimu 4,000 wa shule za msingi na sekondari ili kuwawezesha kutambua mapema dalili za matatizo ya usonji (Autism Spectrum Disorders – ASD) kwa watoto. Dkt. Omary Ubuguyu, Mkurugenzi Msaidizi wa Magonjwa Yasiyoambukiza na Afya ya Akili katika Wizara ya Afya, alitoa taarifa hiyo Jumatano wiki hii katika kongamano la 13 […]

Serikali yaanzisha mwongozo wa Autism, yaanza kuwafundisha walimu 4,000 Read More »

Lissu alegeza masharti kuhusu CHADEMA kushiriki Uchaguzi Mkuu

Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amelegeza masharti kuhusu chama hicho, kushiriki uchaguzi akitaka mambo sita yafanyikie ili waingie katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Lissu ametaja mambo hayo ni kubadilishwa kwa mfumo wa uchaguzi ili kusiwe na mgombea anayepita bila kupingwa, watoto wadogo wasiandikishwe kwenye daftari la kudumu la mpigakura, kukomeshwa engua engua ya

Lissu alegeza masharti kuhusu CHADEMA kushiriki Uchaguzi Mkuu Read More »

Rais Samia atembelea Makumbusho ya Rais wa kwanza wa Angola, Hayati António Agostinho Neto

Luanda, Angola – Aprili 8, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo ametembelea Makumbusho ya Rais wa Kwanza wa Angola, Hayati António Agostinho Neto, yaliyopo eneo la Public Square, jijini Luanda. Katika ziara hiyo ya kihistoria, Rais Samia alipokelewa kwa heshima ya kijeshi, ikiwa ni ishara ya urafiki

Rais Samia atembelea Makumbusho ya Rais wa kwanza wa Angola, Hayati António Agostinho Neto Read More »

Kapinga asema kazi ya kupeleka umeme kwenye migodi midigo inaendelea 

📌 Wachimbaji wa chumvi pia wafikiwa 📌 Wananchi Kibiti wampongeza Rais Samia kwa mradi wa umeme wa zaidi ya shilingi Bilioni 3.8. 📌 Kituo cha umeme Uhuru wilayani Urambo chakamilika Naibu Waziri wa Nishati,Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inaendelea na utekelezaji wa miradi ya kupeleka umeme kwenye maeneo ya migodi

Kapinga asema kazi ya kupeleka umeme kwenye migodi midigo inaendelea  Read More »

PZG-PR yashinda Tuzo ya ‘Best PR Agency 2024’ Tanzania

PZG-PR imetunukiwa tuzo ya ‘Best PR Agency 2024’ nchini Tanzania katika Tuzo za Umahiri wa Mawasiliano na Uhusiano wa Umma Mwaka 2024 zilizofanyika Jumamosi, 29 Machi 2025, ambazo zinazotolewa na ‘Public Relations Society of Tanzania’ (PRST). PZG-PR imepokea tuzo hii ya kitaasisi kwa mara ya kwanza ikiwa ni hatua muhimu ya mafanikio yake katika kipindi

PZG-PR yashinda Tuzo ya ‘Best PR Agency 2024’ Tanzania Read More »

Dk Carreen Rose Rwakatale achangia ujenzi nyumba ya Katibu wa Wazazi CCM

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Mkoa wa Morogoro Dk. Careen-Rose Rwakatale amewataka viongozi wa (CCM) Wilaya mbalimbali mkoani hapa kuhakikisha wanajitoa katika ujenzi wa wa chama hawadhalilishwi kwa kufukuzwa kwenye nyumba za kupanga. Dk. Rwakatale alisema hayo jana wakati akikabidhi bati 50 zenye jumla ya thamani ya shilingi milioni 1.5 kwa viongozi wa Jumuiya

Dk Carreen Rose Rwakatale achangia ujenzi nyumba ya Katibu wa Wazazi CCM Read More »

Mradi wa kufua umeme wa JNHPP wakamilika rasmi: Dk Biteko

📌Asema ni ndoto ya watanzania,awataka wategemee umeme wa uhakika  📌Asisitiza kazi iliyobaki ni kuimarisha miundombinu ya kuwafikishia wananchi umeme  📌Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Misri kuuzindua rasmi  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk. Doto Biteko amewataka Watanzania kutegemea kupata umeme wa uhakika baada ya Mradi wa kufua umeme kutoka Bwawa

Mradi wa kufua umeme wa JNHPP wakamilika rasmi: Dk Biteko Read More »

Verified by MonsterInsights