Habari

Waziri Mavunde azindua rasmi shughuli za uchimbaji madini Porcupine North- Chunya

▪️Ni Leseni Hodhi zilizorudi Serikalini baada ya kumalizika kesi na wawekezaji ▪️Mapato ya Serikali kuongezeka kupitia mrabaha na kodi mbalimbali ▪️ Waziri Mavunde asisitiza kuongeza utafiti zaidi ili kuongeza uzalishaji wa dhahabu ▪️Wachimbaji wadogo nao wapatiwa Leseni kuongeza uzalishaji 📍 Chunya- Mbeya Waziri wa Madini Anthony Mavunde amezindua rasmi shughuli za uchimbaji madini katika mgodi […]

Waziri Mavunde azindua rasmi shughuli za uchimbaji madini Porcupine North- Chunya Read More »

Uzinduzi wa kundi la 11 la mpango wa mustakabali wa wanawake Tanzania

Dar es Salaam, 3 Aprili 2025 – Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) kwa kushirikiana na Taasisi ya Usimamizi wa Afrika Mashariki na Kusini (ESAMI) kimezindua rasmi Kundi la 11 la Mpango wa Mustakabali wa Wanawake Tanzania (Female Future Programme – FFP) katika hafla iliyofanyika Serena Hotel, Dar es Salaam. Hafla hiyo ilihudhuriwa na wadau mbalimbali

Uzinduzi wa kundi la 11 la mpango wa mustakabali wa wanawake Tanzania Read More »

Mrema, aeleza masikitiko yake kuhusu taarifa ya CHADEMA shambulio kiongozi BAWACHA

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema, ameonyesha masikitiko yake makubwa kuhusu taarifa iliyotolewa na chama chake juu ya tukio la kupigwa na kuumizwa kwa kiongozi wa wanawake wa chama hicho, tukio ambalo lilihusisha mwanaume. Katika maelezo yake, Mrema amesema kuwa taarifa hiyo ya chama imetolewa kwa kuchelewa na

Mrema, aeleza masikitiko yake kuhusu taarifa ya CHADEMA shambulio kiongozi BAWACHA Read More »

Rais Mwinyi: Tuendelee kutenda mema na kudumisha amani nchini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amewakumbusha Wananchi kuyatenda mambo yote mema walioyatekeleza wakati wa Ramadhani ikiwemo Ibada pamoja na kuiombea Nchi Amani ikielekea Uchaguzi Mkuu Mwezi Oktoba Mwaka huu. Rais Dk. Mwinyi amesema hayo alipozungumza katika Baraza la Iddi liliofanyika Ukumbi wa Chuo cha Polisi Ziwani, Wilaya

Rais Mwinyi: Tuendelee kutenda mema na kudumisha amani nchini Read More »

Rais Samia aahidi milioni 30

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa kiasi cha Tsh. Milioni 30 kwenye harambee ya ukarabati wa jengo la kanisa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flavian Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa

Rais Samia aahidi milioni 30 Read More »

Waziri Kikwete aongoza mamia ya wananchi waliojiajiri kujiunga na kujiwekea akiba NSSF

📌Ni katika muendelezo wa kampeni ya elimu kwa umma kuhusu Skimu ya Taifa ya Hifadhi ya Jamii kwa Wananchi Waliojiajiri Chalinze mkoani Pwani 📌NSSF yaahidi kufikisha elimu ya hifadhi skimu kwa wananchi wengi zaidi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amewaongoza mamia ya wananchi wa Chalinze

Waziri Kikwete aongoza mamia ya wananchi waliojiajiri kujiunga na kujiwekea akiba NSSF Read More »

TANESCO yashinda tena tuzo za ubora huduma kwa wateja za CICM

📌Urahisi wa upatikanaji huduma kwa njia za kidigitali watajwa moja ya kigezo cha kushinda tuzo hiyo 📌MD Gissima aibuka kidedea kwa Kusimamia Maboresho yenye tija huduma kwa wateja Sekta ya Umma. Shirika la umeme Tanzania TANESCO kwa mara nyingine tena limeshinda tuzo ya the ”Most improved Organization” eneo la huduma kwa wateja iliyotolewa na Taasisi

TANESCO yashinda tena tuzo za ubora huduma kwa wateja za CICM Read More »

Verified by MonsterInsights