Habari

Ambar Haji na Selasin wachaguliwa viongozi wakuu wa chama na wagombea urais

Chama cha NCCR Mageuzi kimemteua Haji Ambar Khamis kuwa mgombea Urais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania na Joseph Roman Selasin kuwa mgombea mwenza katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba 2025. Uteuzi wa wagombea hao umefanywa na mkutano Mkuu wa Chama hicho uliofanyika Leo Tarehe 29 Machi 2025 Katika ukumbi wa St. Gasper Jijini […]

Ambar Haji na Selasin wachaguliwa viongozi wakuu wa chama na wagombea urais Read More »

ACT Wazalendo yazindua rasmi operesheni linda Demokrasia Lindi

Chama cha ACT Wazalendo kimezindua rasmi Operesheni Linda Demokrasia katika Mkoa wa Lindi, ikiwa ni sehemu ya harakati za kuhamasisha wananchi kuhusu umuhimu wa kulinda demokrasia na kupigania mabadiliko mbalimbali ya uchaguzi. Operesheni hiyo inalenga kusambaa kote nchini ili kukutana na wanachama wa chama pamoja na Watanzania kwa ujumla, kwa lengo la kuwahamasisha kuhusu umuhimu

ACT Wazalendo yazindua rasmi operesheni linda Demokrasia Lindi Read More »

Mchengerwa: Sitaki kusikia changamoto ya dawa Hospitali ya Utete

OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amesema hataki kusikia tena kuhusu changamoto ya upatikanaji wa dawa katika Hospitali ya Utete na kumtaka Mganga Mkuu wa Wilaya ya Rufiji,  Hamis Abdallah, kuhakikisha anashughulikia tatizo hilo ili wananchi waendelee kupata huduma bora. Mchengerwa ametoa maelekezo hayo kwa Mganga Mkuu wa Wilaya, wakati wa ziara

Mchengerwa: Sitaki kusikia changamoto ya dawa Hospitali ya Utete Read More »

Kiliba kuongoza wanavyuo Dodoma kuweka maazimio ya wasomi kuhusu Uchaguzi Mkuu 2025

Kampeni ya Mama Asemewe chini ya Mwenyekiti wake Geofrey Kiliba, imeandaa kongamano kubwa la wanavyuo kutoka Vyuo mbalimbali mkoani Dodoma, litakalofanyika tarehe 29 Machi 2025 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre. Kongamano hilo linalenga kuwakutanisha wasomi kwa ajili ya kujadili na kuweka maazimio ya pamoja kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, likiwa ni sehemu

Kiliba kuongoza wanavyuo Dodoma kuweka maazimio ya wasomi kuhusu Uchaguzi Mkuu 2025 Read More »

Biashara ya Kaboni yawapa shavu watanzania –  Chana

Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk. Pindi Chana amesema kuwa jamii zimeendelea kunufaika na biashara ya hewa ukaa kupitia miradi ya  Shirika la Uhifadhi wa mazingira la ‘The Nature Conservancy’ nchini Tanzania lililojikita katika kuhifadhi mifumo ya ikolojia , kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi pamoja na kuongeza mapato kwa jamii. Ameyasema hayo katika hafla

Biashara ya Kaboni yawapa shavu watanzania –  Chana Read More »

Kamati ya usalama barabarani Arusha yakabidhi vifaa vya TEHAMA Polisi Arusha

Kamati ya Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha leo, Machi 28, 2025, imekabidhi kompyuta kwa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha ili kusaidia matumizi ya mifumo ya kisasa inayotumiwa na kikosi hicho katika utoaji wa huduma. Kompyuta hizo zimekabidhiwa na Mjumbe wa Kamati hiyo, Bi. Veronica Ignatus, na kupokelewa na Mkuu wa Kikosi cha Usalama

Kamati ya usalama barabarani Arusha yakabidhi vifaa vya TEHAMA Polisi Arusha Read More »

Tanzania na Korea Kusini Zatia Saini Makubaliano ya Tafiti za Jiosayansi

Wizara ya Madini kupitia Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini (GST) na Taasisi ya Jiosayansi na Rasilimali Madini ya Korea Kusini (KIGAM) zimetia saini Hati ya Makubaliano (MoU) kwa ajili ya kufanya tafiti za pamoja za jiosayansi. Hafla hiyo ya utiaji saini ilifanyika Machi 26, 2025, jijini Seoul, Korea Kusini, ikiwa ni sehemu ya

Tanzania na Korea Kusini Zatia Saini Makubaliano ya Tafiti za Jiosayansi Read More »

Ally Hapi: Rais Samia amefanya kazi kubwa kupambana na maradhi

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa kupambana na maradhi, moja ya maadui wakuu watatu waliotajwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere. Akizungumza kuhusu mafanikio ya serikali ya awamu ya sita, Hapi alisema kuwa Rais Samia amehakikisha Watanzania, mijini

Ally Hapi: Rais Samia amefanya kazi kubwa kupambana na maradhi Read More »

Verified by MonsterInsights