Serikali yasisitiza utamaduni wa kujikinga, Tanzania ikiadhimisha Siku ya Usalama na Afya Duniani Singida
Serikali imetoa wito kwa waajiri, wafanyakazi na wananchi kwa ujumla kujenga utamaduni wa kujikinga dhidi ya ajali na magonjwa mahali pa kazi ili kuepuka athari zinazoweza kujitokeza katika uchumi na ustawi wa wafanyakazi nchini. Wito huo wa Serikali umetolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete, alipowaongoza […]