Habari

Wadau wakutana kujadili mifumo endelevu ya usimamizi wa rasilimali maji

Wadau kutoka sekta mbalimbali wamekutana kujadili mifumo ya ushirikiano kwa usimamizi endelevu wa Rasilimali maji ndani ya maeneo ya kiuchumi ambapo mjadala umezingatia mbinu za uvumbuzi, ushirikiano wa sekta binafsi na umma, matumizi ya teknolojia, na sera endelevu ili kuhakikisha matumizi bora na uhifadhi wa rasilimali maji kwa maendeleo jumuishi. Miongoni mwa mambo yaliyojadiliwa katika […]

Wadau wakutana kujadili mifumo endelevu ya usimamizi wa rasilimali maji Read More »

TBL yaadhimisha Wiki ya Maji kwa kuhamasisha matumizi endelevu ya rasilimali hiyo

Kampuni ya bia Tanzani (TBL) , imetenga wiki zima ya kuadhimisha wiki ya maji. Ambapo jana mefadha hafla ya maadhimisho katika kiwanda chao cha bia kilichopo Arusha. Maadhimisho haya yamelenga kutambua umuhimu wa maji katika uzalishaji wa bidhaa za TBL na na kwa matumizi ya kawaida ya jamii. Akizungumza wakati wa hafla hiyo” Mkurugenzi wa

TBL yaadhimisha Wiki ya Maji kwa kuhamasisha matumizi endelevu ya rasilimali hiyo Read More »

Dk. Biteko aipongeza  NZUWASA udhibiti upotevu wa maji, ikiibuka mshindi mara ya tatu mfululizo

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,Dk. Dotto Biteko, ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Nzega kwa kuwa mfano bora katika udhibiti wa upotevu wa maji, baada ya kufanikisha kiwango cha chini cha upotevu wa asilimia 6 pekee. Akizungumza wakati wa hafla ya kutangaza tathmini ya utendaji wa mamlaka mbalimbali za maji

Dk. Biteko aipongeza  NZUWASA udhibiti upotevu wa maji, ikiibuka mshindi mara ya tatu mfululizo Read More »

NMB yashiriki Jukwaa la Kujadili Masuala ya Maji, ikiunga mkono Wiki ya Maji

Na mwandishi wetu Benki ya NMB imeshiriki na kudhamini Jukwaa la Kujadili Masuala ya Maji lililofanyika jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Maji yanayoendelea nchini. Jukwaa hilo limewaleta pamoja wadau mbalimbali wa sekta ya maji ili kujadili mustakabali wa usimamizi, uhifadhi, na uendelezaji wa rasilimali za maji. Katika hafla

NMB yashiriki Jukwaa la Kujadili Masuala ya Maji, ikiunga mkono Wiki ya Maji Read More »

Kusaga ampa mwaliko maalum Rais Samia Tuzo za Malkia wa Nguvu Dar

Clouds Media Group imezindua rasmi msimu mpya wa Malkia wa Nguvu 2025 kwa kauli mbiu ya “TWENDE DUNIANI”, ikitangaza kuwa mwaka huu mashindano hayo yatafanyika katika kanda tano za Tanzania. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga, alisema kuwa ndoto yake ya muda mrefu ilikuwa

Kusaga ampa mwaliko maalum Rais Samia Tuzo za Malkia wa Nguvu Dar Read More »

IPRT, Msajili Hazina Zanzibar wasaini makubaliano uratibu wa tuzo za umahiri wa mawasiliano Zanzibar

Taasisi ya Uhusiano wa Umma Tanzania (IPRT) imesaini makubaliano na Msajili wa Hazina Zanzibar kwa ajili ya uratibu wa pamoja katika kuandaa tuzo za umahiri katika mawasiliano ya umma Zanzibar yaani ‘Zanzibar Communication Excellence Awards (ZCEA)’ zinazotarajiwa kufanyika Julai 5 mwaka huu visiwani humo. Hafla ya utiaji saini makubaliano hayo imefanyika mapema leo jijini Dar

IPRT, Msajili Hazina Zanzibar wasaini makubaliano uratibu wa tuzo za umahiri wa mawasiliano Zanzibar Read More »

Verified by MonsterInsights