ATE, Sightsavers International wazindua Mtandao Uwezeshaji Watu wenye Ulemavu Mahali pa Kazi
Akizungumza katika uzinduzi huo leo, Mtendaji Mkuu wa ATE,Suzanne Ndomba-Doran, amesisitiza kuwa ushirikiano kati ya serikali, waajiri, na mashirika mbalimbali ni muhimu katika kuhakikisha fursa sawa za ajira. Ndomba-Doran ameeleza kuwa ATE kwa kushirikiana na Sightsavers International inatekeleza mradi wa kuwawezesha watu wenye ulemavu kiuchumi, huku ikiwahamasisha waajiri kuandaa mazingira jumuishi. Katika mradi huo, waajiri […]