Habari

Waziri Ulega atoa agizo kwa wakandarasi wa mradi wa mwendokasi

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewataka wakandarasi wanaosimamia ujenzi wa miundombinu ya mabasi ya mwendokasi jijini Dar es Salaam kuhakikisha wanakamilisha kazi kwa wakati kulingana na mikataba waliyoisaini. Agizo hilo limetolewa Februari 5, 2025, wakati Waziri Ulega alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya miradi hiyo, ambapo alionesha kusikitishwa na ucheleweshaji wa ujenzi kinyume na makubaliano ya […]

Waziri Ulega atoa agizo kwa wakandarasi wa mradi wa mwendokasi Read More »

Wanawake wahimizwa kutumia Vyama vya Ushirika kama njia ya kujikwamua kiuchumi

Katika kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Kaimu Naibu Mrajis wa Ushirika – Uhamasishaji, Consolata Kiluma, amewataka wanawake kutumia vyama vya ushirika kama nyenzo ya kujikwamua kiuchumi. Amesema kuwa vyama vya ushirika, hususan vya Akiba na Mikopo (SACCOS), ni sehemu salama kwa wanawake kuhifadhi fedha zao na kupata mikopo yenye riba nafuu,

Wanawake wahimizwa kutumia Vyama vya Ushirika kama njia ya kujikwamua kiuchumi Read More »

Tume ya Utumishi wa Umma yaitaka OSHA kuimarisha elimu kwa waajiri na wafanyakazi serikalini

Na Mwandishi Wetu Tume ya Utumishi wa Umma imetoa rai kwa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) kuwekeza zaidi katika kutoa elimu ya masuala ya usalama na afya kwa waajiri na wafanyakazi wote nchini hususan katika sekta ya umma ili kuwawezesha kutambua vihatarishi vya magonjwa na ajali mahali pa kazi na hivyo

Tume ya Utumishi wa Umma yaitaka OSHA kuimarisha elimu kwa waajiri na wafanyakazi serikalini Read More »

Afrika tunayapa kipaumbele matumizi ya Nishati Safi ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi-Dk.Biteko

📌 Asema Sera na Sheria zinazowekwa zinahimiza matumizi ya Nishati Safi 📌 Afungua Mkutano wa Awali EAPCE’25 📌 Ataka utumike kujadili na kuweka mipango itakayowezesha matumizi ya Nishati Safi 📌 Ataka mkazo kuwekwa kwenye Nishati Safi ya Kupikia kwani matumizi ya kuni na mkaa bado ni makubwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.

Afrika tunayapa kipaumbele matumizi ya Nishati Safi ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi-Dk.Biteko Read More »

Benki ya Stanbic yadhamini Kongamano la Maendeleo ya Wanawake Geita

Benki ya Stanbic Tanzania imedhamini Kongamano la Maendeleo ya Wanawake lililofanyika katika Halmashauri ya Ushirombo, mkoani Geita, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea kilele cha Wiki ya Wanawake. Akizungumza katika kongamano hilo, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, alieleza kuwa lengo la mkutano huo ni kutambua mchango

Benki ya Stanbic yadhamini Kongamano la Maendeleo ya Wanawake Geita Read More »

Wizara ya Nishati yajivunia jitihada za kuimarisha haki na uwezeshaji wa wanawake

Katika kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Machi 8, 2025, yenye kaulimbiu “Wanawake na Wasichana 2025: Tuimarishe Haki, Usawa na Uwezeshaji,” Wizara ya Nishati imeeleza jinsi inavyoshiriki kikamilifu katika kulinda haki za wanawake, kuimarisha usawa, na kuwawezesha kiuchumi kupitia upatikanaji wa nishati ya umeme na nishati safi ya kupikia. Naibu Waziri wa Nishati, Mhe.

Wizara ya Nishati yajivunia jitihada za kuimarisha haki na uwezeshaji wa wanawake Read More »

Tanzania yaadhimisha Siku ya Wanyamapori Duniani, yasisitiza Uhifadhi wa Urithi wa Taifa

Tanzania, ikiwa ni Kiongozi wa Utalii wa Safari Duniani na makazi ya Serengeti, Hifadhi Bora ya Taifa Duniani, inaungana na mataifa mengine kusherehekea Siku ya Wanyamapori Duniani leo tarehe 3 Machi. Kaulimbiu ya mwaka huu inasisitiza jukumu letu la kuhifadhi urithi wa wanyamapori kwa vizazi vijavyo: “Tumerithishwa, Tuwarithishe.” Tanzania imebarikiwa kuwa na bioanuwai tajiri inayojumuisha

Tanzania yaadhimisha Siku ya Wanyamapori Duniani, yasisitiza Uhifadhi wa Urithi wa Taifa Read More »

Verified by MonsterInsights