Habari

Wizara ya Nishati yajivunia jitihada za kuimarisha haki na uwezeshaji wa wanawake

Katika kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Machi 8, 2025, yenye kaulimbiu “Wanawake na Wasichana 2025: Tuimarishe Haki, Usawa na Uwezeshaji,” Wizara ya Nishati imeeleza jinsi inavyoshiriki kikamilifu katika kulinda haki za wanawake, kuimarisha usawa, na kuwawezesha kiuchumi kupitia upatikanaji wa nishati ya umeme na nishati safi ya kupikia. Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. […]

Wizara ya Nishati yajivunia jitihada za kuimarisha haki na uwezeshaji wa wanawake Read More »

Tanzania yaadhimisha Siku ya Wanyamapori Duniani, yasisitiza Uhifadhi wa Urithi wa Taifa

Tanzania, ikiwa ni Kiongozi wa Utalii wa Safari Duniani na makazi ya Serengeti, Hifadhi Bora ya Taifa Duniani, inaungana na mataifa mengine kusherehekea Siku ya Wanyamapori Duniani leo tarehe 3 Machi. Kaulimbiu ya mwaka huu inasisitiza jukumu letu la kuhifadhi urithi wa wanyamapori kwa vizazi vijavyo: “Tumerithishwa, Tuwarithishe.” Tanzania imebarikiwa kuwa na bioanuwai tajiri inayojumuisha

Tanzania yaadhimisha Siku ya Wanyamapori Duniani, yasisitiza Uhifadhi wa Urithi wa Taifa Read More »

Waliyoyapambania wanawake wenzetu matunda yake tunayaona – Mbuja

📌 Asema Wizara ya Nishati inalo la kujivunia kutokana na uwepo wanawake katika nafasi za uongozi. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano  Serikalini Wizara ya Nishati,  Neema Mbuja amesema kile ambacho wanawake walikipambania  katika majukwaa mbalimbali ikiwemo ya Kimataifa ili kuwa na  haki, usawa na uwezeshaji kwa wanawake matunda yake yanaonekana hivi sasa. Mbuja ameyasema hayo

Waliyoyapambania wanawake wenzetu matunda yake tunayaona – Mbuja Read More »

DAWASA yaweka motisha kwa viongozi wa mitaa kudhibiti upotevu wa maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika lengo la kuimarisha ushirikiano baina na Viongozi wa Serikali za Mitaa, imeanzisha motisha maalum ya kuwawezesha Viongozi hao kuwa sehemu ya kundi muhimu la kuzuia upotevu wa maji mitaani. Akizungumza na Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa Wilaya ya Ubungo, Kaimu Afisa

DAWASA yaweka motisha kwa viongozi wa mitaa kudhibiti upotevu wa maji Read More »

Vijana wa kike, fedha manazopata mzitumie katika uwekezaji- Zaina 

📌 Asema inaongeza kujiamini 📌 Asema Wizara ya Nishati inaiishi kaulimbiu ya Siku ya Wanawake Duniani 2025 Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Wizara ya Nishati, Ziana Mlawa ametoa rai kwa Vijana wa Kike kuwa fedha wanazopata watumie pia katika kufanya uwekezaji hali itakayowajengea uwezo kujiamini zaidi ikiwemo katika maeneo ya kazi. Mlawa ameyasema hayo

Vijana wa kike, fedha manazopata mzitumie katika uwekezaji- Zaina  Read More »

Rais Samia atoa maagizo Wizara ya Nishati,usafirishaji mafuta 

📌 Lengo ni kuyafanya makampuni ya usambazaji mafuta upande wa Kaskazini kutumia Bandari ya Tanga. 📌 Asema Serikali imeweka mazingira mazuri ya uwekezaji nchini. 📌Kapinga asema Tanga ni Mkoa muhimu katika sekta ya nishati nchini. 📌Uwekezaji  huo unaunga mkono na kuchochea matumizi ya  nishati safi ya kupikia. Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe.

Rais Samia atoa maagizo Wizara ya Nishati,usafirishaji mafuta  Read More »

Verified by MonsterInsights