Habari

Lukuvi aagiza uboreshaji wa mawasiliano ya tahadhari za maafa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi, ameielekeza Kituo cha Operesheni na Mawasiliano ya Dharura kujiratibu vyema katika kusambaza taarifa za tahadhari ya maafa kwa wakati, ili hatua za mapema zichukuliwe kabla ya madhara kutokea. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi, ameielekeza […]

Lukuvi aagiza uboreshaji wa mawasiliano ya tahadhari za maafa Read More »

Samia: Barabara hii inakwenda kuifungua Tanga kiutalii na kibiashara

“Barabara hii tunayoiunganisha inakwenda kuifungua Tanga kiutalii na kibiashara pia. Maeneo kadhaa ya utalii sehemu mbalimbali za Tanga ambayo hayafikiki kwa barabara hii ni rahisi kumtoa mtalii Saadan na kumpeleka maeneo mengine ya kufanya utalii ndani ya Tanga, lakini ni ufunguzi wa korido ya kibiashara pia,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia

Samia: Barabara hii inakwenda kuifungua Tanga kiutalii na kibiashara Read More »

Waziri Kikwete- Tunduma wametekeleza maagizo ya Rais Samia kwa kutoa bil 4.6  mikopo ya 10%

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete, amesema kuwa hatua ya Halmashauri ya Tunduma kutoa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 4.6 kwa vikundi 150 ni utekelezaji wa maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan. Mikopo hiyo, inayotokana na asilimia

Waziri Kikwete- Tunduma wametekeleza maagizo ya Rais Samia kwa kutoa bil 4.6  mikopo ya 10% Read More »

Benki ya NMB yaweka viwango vipya vya ubora wa ajira na ustawi wa wafanyakazi nchini

Na Mwandishi Wetu Katika mazingira ya sasa hivi ya ajira yenye ushindani mkubwa wa kuvutia na kuhifadhi vipaji bora, Benki ya NMB imeendelea kuwa mwajiri kinara nchini na chaguo pendwa la wafanyakazi wa kada zote. Kupitia uwekezaji wake endelevu katika maendeleo ya rasilimali watu, ustawi wa wafanyakazi, na kuboresha mahali pa kazi, NMB inazidi kuimarisha

Benki ya NMB yaweka viwango vipya vya ubora wa ajira na ustawi wa wafanyakazi nchini Read More »

Ujenzi Kituo cha Kupoza Umeme Handeni kuimarisha upatikanaji umeme- Rais Samia 

📌 Kituo kugharimu shilingi bilioni 50 📌 Zaidi ya Shillingi billioni 98 kutekeleza mradi wa gridi imara Kilindi Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amesema utekelezaji wa ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Handeni mkoani Tanga utakapokamilika utaboreha upatikanaji wa umeme katika Wilaya za Handeni na Kilindi pamoja na maeneo jirani. Rais Samia

Ujenzi Kituo cha Kupoza Umeme Handeni kuimarisha upatikanaji umeme- Rais Samia  Read More »

Dk. Samia: Serikali inaimarisha mazingira ya kujifunza na kufundishia

“Naendelea na ziara ndani ya Mkoa wa Tanga. Na kubwa ni kuangalia kazi zilizofanywa na serikali ndani ya mkoa huu, kazi ambazo zinaenda kupunguza au kuondosha shida za wananchi. Nilipofika hapa nimepitishwa kwenye ramani ya shule hii. Na kwa kiasi kikubwa nimefurahi kuona kuwa awamu ya kwanza ya ujenzi wa shule hii imetimia. Na kwamba

Dk. Samia: Serikali inaimarisha mazingira ya kujifunza na kufundishia Read More »

Rais Samia azindua Shule ya Sekondari ya Wasichana Tanga

RAIS Samia Sulluh Hassan amezindua shule ya wasichana ya Mkoa wa Tanga leo February 25 katika Kijiji cha Mabalanga wilayani Kilindi, ambayo inafundisha mchepuo wa sayansi. Wakati akizindua shule hiyo Dk. Samia aliwaomba wananchi wilayani humo kuipa jina aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, hayati Beatrice Shelukindo ambaye pia alikuwa mpambanaji wa masuala ya wanawake. “Kwahiyo

Rais Samia azindua Shule ya Sekondari ya Wasichana Tanga Read More »

Verified by MonsterInsights