Waziri Kikwete- Tunduma wametekeleza maagizo ya Rais Samia kwa kutoa bil 4.6 mikopo ya 10%
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete, amesema kuwa hatua ya Halmashauri ya Tunduma kutoa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 4.6 kwa vikundi 150 ni utekelezaji wa maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan. Mikopo hiyo, inayotokana na asilimia […]