Habari

Waziri Kombo atembelea watengeneza ‘drones’ za kilimo

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo amefanya ziara katika Kampuni ya ABZ Innovation inayojihusisha na uzalishaji wa ndege zisizo na rubani ‘drones’ zinazotumika katika sekta ya kilimo. Katika ziara hiyo Waziri Kombo alipokea wasilisho kuhusu ndege hizo zinazozalishwa na kampuni ya ABZ Innovation ambazo zaidi hutumika katika […]

Waziri Kombo atembelea watengeneza ‘drones’ za kilimo Read More »

Tanzania na Hungary kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo, ametembelea Wizara ya Nishati ya Hungary na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo anayeshughulikia pia masuala ya mazingira Aniko Raisz. Katika mazungumzo hayo, Waziri Kombo alieleza kazi kubwa inayofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia

Tanzania na Hungary kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati Read More »

TANESCO: Maboresho ya miundombinu hayataathiri wananchi kwa siku sita mfululizo

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa ufafanuzi kuhusu maboresho ya miundombinu yatakayofanyika kuanzia Februari 22 hadi Februari 28, 2025, likisisitiza kuwa maboresho hayo hayataendelea kwa siku sita mfululizo na hayatasababisha athari kubwa kwa wananchi. Katika taarifa yake, TANESCO imeeleza kuwa maboresho hayo yatafanyika katika Kituo cha Kupokea, Kupoza na Kusafirisha Umeme cha Ubungo, ambapo kuna

TANESCO: Maboresho ya miundombinu hayataathiri wananchi kwa siku sita mfululizo Read More »

Balozi Nchimbi: CCM haitavumilia wanaokiuka kanuni

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, ameonya vikali wanachama wanaotafuta uteuzi wa udiwani, uwakilishi na ubunge kwa njia zisizo halali, akisisitiza kuwa chama hakitasita kuwaengua wale watakaokiuka Katiba, Kanuni na maadili ya CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025. Akizungumza jijini Dodoma wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa makatibu wa matawi

Balozi Nchimbi: CCM haitavumilia wanaokiuka kanuni Read More »

Dk. Biteko ampongeza mwanafunzi aliyeeleza miradi ya umeme

 📌Amuahidi kutembelea mradi wa Julius Nyerere Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Dkt. Doto Biteko, ameagiza mwanafunzi Mirabelle Msukari na wenzake kutoka Shule ya Msingi Sun Rise, wilayani Kinondoni, jijini Dar es Salaam, kufanyiwa ziara katika Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) ili kujifunza kwa vitendo namna umeme unavyozalishwa. Mheshimiwa Biteko

Dk. Biteko ampongeza mwanafunzi aliyeeleza miradi ya umeme Read More »

Makandarasi wa Arusha na Manyara wahimizwa kumaliza miradi kwa wakati

Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi CRB Mhandisi Joseph Nyamhanga, amemtaka mkandarasi anayetekeleza mradi wa usambazaji wa umeme vijijini (REA)  mkoa wa Manyara katika Wilaya ya Babati, Simanjiro na Kiteto, na kampuni ya China Railway Construction Electrification Bereau Group Company Limited (CRCEBG) kukamilisha mradi huo kwa wakati ili wananchi wapate huduma ya umeme. Amesema

Makandarasi wa Arusha na Manyara wahimizwa kumaliza miradi kwa wakati Read More »

Verified by MonsterInsights