Habari

Waziri Kikwete: Kiwanda cha Ngozi Kilimanjaro kipo katika hatua nzuri ya uzalishaji

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu),Ridhiwani Kikwete, amesema kuwa Kiwanda cha Kimataifa cha Bidhaa za Ngozi Kilimanjaro (KLICL) kipo katika hatua nzuri ya uzalishaji na kinaendelea kuimarika. Akizungumza leo wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Serikali (PIC) katika kiwanda hicho […]

Waziri Kikwete: Kiwanda cha Ngozi Kilimanjaro kipo katika hatua nzuri ya uzalishaji Read More »

Waziri Aweso aitaka DAWASA kushirikiana na wenyeviti wa mitaa kutatua changamoto za maji

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kushirikiana kwa karibu na wenyeviti wa mitaa ili kutatua changamoto za maji na kurahisisha upatikanaji wa huduma za mamlaka hiyo. Akizungumza leo, Februari 18, na Wenyeviti wa Mitaa wa Wilaya ya Kinondoni, Waziri Aweso amewasihi viongozi wa mitaa

Waziri Aweso aitaka DAWASA kushirikiana na wenyeviti wa mitaa kutatua changamoto za maji Read More »

Tanzania, UNODC kuendelea kuimarisha ushirikiano katika kukabiliana na uhalifu wa mazingira

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya na Uhalifu, Ofisi ya Kanda ya Afrika Mashariki (UNODC ROEA), imejipanga kuendelea kuimarisha ushirikiano katika kudhibiti uhalifu unaoathiri mazingira (Enviromental Crimes) na kulinda bayoanuwai. Hayo yamejiri leo Februari 17,2025 katika kikao kati ya Waziri wa Maliasili na

Tanzania, UNODC kuendelea kuimarisha ushirikiano katika kukabiliana na uhalifu wa mazingira Read More »

Kitabu cha JUA na UA, chazinduliwa, kichocheo maadili na ubunifu kwa watoto

Kitabu cha JUA Na UA, ambacho ni sehemu ya mfululizo wa vitabu vya hadithi za watoto vilivyoandikwa na Mtanzania Prudence Zoe Glorious, kimezinduliwa rasmi mwishoni mwa wiki, Februari 15, 2025. JUA Na UA ni kitabu kinachobeba falsafa za Kitanzania, kilizinduliwa katika ofisi mpya ya PZG-PR, iliyopo 50 Msasani Road, Oysterbay, Dar es Salaam kikiwa na

Kitabu cha JUA na UA, chazinduliwa, kichocheo maadili na ubunifu kwa watoto Read More »

Nabii Edmund aonya Watanzania kuepuka machafuko kuelekea Uchaguzi Mkuu

Watanzania wametakiwa kuepuka mashinikizo ya kuhatarisha hali ya usalama wa nchi, yakiwamo maandamano wakati wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Rai hiyo imetolewa na Nabii wa Kanisa la Heavenly Image Manifest (HIM), Nabii Edmund Mystic, wakati akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, kuhusu Mkesha mkubwa wa kuliombea Taifa, Rais Samia

Nabii Edmund aonya Watanzania kuepuka machafuko kuelekea Uchaguzi Mkuu Read More »

Waziri Mavunde apiga marufuku wageni kuingia kwenye leseni za uchimbaji mdogo 

📌Awataka wenye Leseni kufuata taratibu za kisheria za msaada wa kiufundi 📌Serikali kutunga kanuni za kuratibu wageni kwenye Leseni ndogo 📌Awataka RMO kufanya ukaguzi katika maeneo yao 📌Awaonya wachimbaji wanaoingiza wageni kinyemela 📍Morogoro Waziri wa Madini Anthony Mavunde amepiga marufuku raia wa kigeni kuingia na kufanya shughuli kwenye leseni za uchimbaji mdogo; hii ni kufuatia

Waziri Mavunde apiga marufuku wageni kuingia kwenye leseni za uchimbaji mdogo  Read More »

Uchunguzi wa Wafanyabiashara wa kigeni Kariakoo wafikia asilimia 50

📌…Yaaendelea kuwahoji wafanyabiashara Kamati maalum iliyoundwa na Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo, kuchunguza uwepo wa wafanyabiashara wa kigeni katika eneo la Kariakoo imefikia asilimia 50 ya kazi yake na imeahidi kukamilisha ripoti hiyo ifikapo Machi 2, 2025, kama ilivyoagizwa. Kamati hiyo yenye wajumbe 15 inaongozwa na Mkuu wa Chuo cha Elimu ya

Uchunguzi wa Wafanyabiashara wa kigeni Kariakoo wafikia asilimia 50 Read More »

Ufungaji Mgodi wa Buzwagi hautaathiri shughuli za uchumi Kahama- Dk. Kiruswa 

📌Kamati ya Kudumu ya Bunge Yavutiwa na Mpango wa Ufungaji Mgodi Naibu Waziri wa Madini, Dk. Steven Kiruswa, amesisitiza kuwa ufungaji wa mgodi wa Buzwagi hautaathiri shughuli za kiuchumi katika Wilaya ya Kahama, kwani mipango madhubuti imewekwa kuhakikisha kuwa eneo hilo linaendelea kuwa na mchango mkubwa katika uchumi wa taifa kupitia miradi mipya ya uwekezaji

Ufungaji Mgodi wa Buzwagi hautaathiri shughuli za uchumi Kahama- Dk. Kiruswa  Read More »

Verified by MonsterInsights