Habari

Watuhumiwa wa Ubakaji na ulawiti wafungwa maisha jela

Na Mwandishi Jeshi la Polisi- Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kwa kipindi cha kuanzia mwezi Januari, 2025 hadi Februari 2025 lilifanya operesheni dhidi ya uhalifu na wahalifu na kufanikiwa kukamata watuhumiwa mbalimbali na kuwafikishwa Mahakamani. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Justine Masejo […]

Watuhumiwa wa Ubakaji na ulawiti wafungwa maisha jela Read More »

Viwanda vinne vya uongezaji thamani madini kujengwa Dodoma- Mavunde

📌Akagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha kuchenjua Madini ya Shaba* 📌Dodoma inaongoza kwa uwepo wa aina nyingi za madini nchini* 📌Atoa rai kwa Mikoa kutenga meneo maalum ya viwanda vya kuongeza thamani Waziri wa Madini Anthony Mavunde amesema, ujenzi wa Viwanda vinne vya Uchenjuaji Madini ya Shaba ikiwemo kiwanda cha Shengde Precious Metal Resources

Viwanda vinne vya uongezaji thamani madini kujengwa Dodoma- Mavunde Read More »

Makandarasi watakiwa kuhakikisha kutumia wataalamu katika shughuli za ujenzi

Makandarasi wamehaswa kuhakikisha wanawatumia wataalamu stahiki katika utekelezaji wa shughuli za miradi ya ujenzi nchini. Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo yaliyofanyika kwa siku tatu jijini Arusha, Msajili wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) Mhandisi Rhoben Nkori alisema kuwa lengo ni kukuza uwezo na ujuzi wa makandarasi wazawa kwa kutambua umuhimu wa usimamizi wa rasilimali

Makandarasi watakiwa kuhakikisha kutumia wataalamu katika shughuli za ujenzi Read More »

Mchengerwa awaweka kikaangoni wakurugenzi watoto kusomea chini ya mti

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, ameagiza tathmini ifanyike kubaini maeneo ambapo wanafunzi wanalazimika kusoma chini au kukaa chini ya miti. Pia, amewataka wakurugenzi wa halmashauri na wataalamu wao kuandikiwa barua za kujieleza juu ya hali hiyo. Agizo hilo amelitoa leo, Februari 13, 2025, jijini Dodoma, wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kukabiliana

Mchengerwa awaweka kikaangoni wakurugenzi watoto kusomea chini ya mti Read More »

Verified by MonsterInsights