Habari

Dk. Samia: Tusiwabeze wapinzani wetu kwenye uchaguzi mkuu

“Ndugu zangu pamoja na hali hiyo ya kujiamini kwamba CCM ndio chama kikubwa na tuna matumaini makubwa kwenye uchaguzi ujao tusibweteke. Tunatimiza miaka 48 katika mwaka wenye vuguvugu za Uchaguzi Mkuu nchini. Kama nilivyosema kwenye Mkutano Maalum uliomalizika hivi karibuni, tusiruhusu kunyemelewa na kibri ya kuwabeza wapinzani wetu, lakini pia tusiingiwe na pepo la kuwaogopa,”Mwenyekiti […]

Dk. Samia: Tusiwabeze wapinzani wetu kwenye uchaguzi mkuu Read More »

Dk. Yonazi awakumbusha watumishi Ofisi ya Waziri Mkuu kuendelea kutekeleza majukumu kwa weledi

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dk. Jim Yonazi amewakumbusha watumishi wa ofisi ya Waziri Mkuu kuendelea kutekeleza majukumu yao kwa ushirikiano, upendo, furaha na amani ili kuyafikia malengo ya ofisi hiyo. Dk. Yonazi ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Watumishi Ofisi yake wakati wa mkutano wake na

Dk. Yonazi awakumbusha watumishi Ofisi ya Waziri Mkuu kuendelea kutekeleza majukumu kwa weledi Read More »

Rais Dk. Samia akipokelewa na wakazi wa Dodoma baada ya kupokea tuzo ya Gates Goalkeeper Award

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema tuzo aliyokabidhiwa leo ya ‘Gates Goalkeeper Award’ inamaanisha kuwa, dunia imejua na kuona jitihada za Tanzania katika huduma za afya hususan za mama na mtoto. Rais Samia amesema hayo leo Jumanne Februari 4, 2025 katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma akitokea Dar es Salaam. Tuzo hiyo amepewa leo

Rais Dk. Samia akipokelewa na wakazi wa Dodoma baada ya kupokea tuzo ya Gates Goalkeeper Award Read More »

Dk. Samia: Maendeleo yetu yanatokana na ushirikiano wa pamoja

“Maendeleo haya hayajapatikana kwa kutengwa. Ni matokeo ya hatua za pamoja. Kujitolea kusikoyumba kwa wahudumu wetu wa afya, ushirikiano wa asasi za kiraia kama vile taasisi ya Jakaya Kikwete Foundation na nyinginezo. Na kuungwa mkono na washirika wa kimataifa kama vile Gates foundation na wengineo. Hata hivyo tunaposherehekea mafanikio haya tunatambua kwamba safari bado haijaisha,”-

Dk. Samia: Maendeleo yetu yanatokana na ushirikiano wa pamoja Read More »

Baada ya kumaliza kazi ya kupeleka umeme vijijini sasa kasi inahamia vitongojini- Kapinga 

📌 Asema upelekaji umeme vitongojini umefikia asilimia 52.3 📌 Asisitiza umeme kufika maeneo ya uchimbaji madini Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema kuwa hadi kufikia Januari, 2025, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imekamilisha upelekaji wa umeme kwenye vijiji vyote 12,318 nchini na kwamba kazi inayofanyika sasa ni kuendelea kusambaza umeme vitongojini. Kapinga

Baada ya kumaliza kazi ya kupeleka umeme vijijini sasa kasi inahamia vitongojini- Kapinga  Read More »

Rais Samia atunukiwa tuzo ya The Gates Goalkeepers Award mafanikio sekta ya afya

Rais Samia Suluhu Hassan leo, Februari 4, 2025, ametunukiwa tuzo ya The Gates Goalkeepers Award kutokana na mafanikio makubwa ya uongozi wake, hususan katika sekta ya afya. Ripoti ya utafiti wa demografia na afya ya 2022 imeonyesha kupungua kwa vifo vya uzazi kwa asilimia 80 pamoja na vifo vya watoto wachanga. Tuzo hiyo imetolewa na

Rais Samia atunukiwa tuzo ya The Gates Goalkeepers Award mafanikio sekta ya afya Read More »

Verified by MonsterInsights