Habari

TLS: Tulitoa mawakili 380 kusaidia wenye uhitaji wa kisheria

“Mchango wa serikali katika kuwasaidia wananchi wa makosa ya jinai kwa mwaka 2024 tulitoa takribani mawakili 380 kutoka kwenye matawi yetu yaliyosambaa nchi nzima. Vile vile TLS kama nilivyosema tumekuwa tukishirikiana na serikali hususan Wizara ya Katiba na Sheria. Vile vile tumeshirikiana katika kuendesha huduma ya msaada wa kisheria wa Watanzania wa hali ya chini […]

TLS: Tulitoa mawakili 380 kusaidia wenye uhitaji wa kisheria Read More »

TLS: Tukishirikiana na Serikali sio kulamba asali

“Mheshimiwa Mgeni rasmi. Nikijaribu kuangalia dira ya Taifa ya maendeleo na hali ilivyo ya kisheria, sisi matarajio yetu ni kwamba wakati tukiendelea kuboresha na kujipanga, tuhakikishe kwamba tunaweka utaratibu wa kisheria wa kuhakikisha kuwa sheria na sera zinatungwa katika namna ya ushirikishwaji wa kutosha wa wananchi katika ngazi zote. Jambo la pili, kujenga na kuimarisha

TLS: Tukishirikiana na Serikali sio kulamba asali Read More »

Samia: Nimefurahi agizo langu la Haki Jinai linakwenda kufanyiwa kazi

“Waheshimiwa niungane na wote waliotangulia kumshukuru Mwenyezimungu. Kwa neema ha uhai na kutuwezesha kukutana tena. Nimefurahi kujumuika nanyi kwenye kilele cha wiki ya sheria na kuzindua shughuli za mahakama nchini kwa mwaka 2025. Mheshimiwa jaji Mkuu, nikiangalia kauli mbiu mliyokuja nayo mwaka huu inayosema Tanzania ya 2050, nafasi za taasisi zinazosimamia haki madai katika kufikia

Samia: Nimefurahi agizo langu la Haki Jinai linakwenda kufanyiwa kazi Read More »

“Azma ya serikali ni kuhakikisha wananchi wanapata umeme wa uhakika wakati wote” 

📌 Serikali yafuatilia kwa karibu upatikanaji umeme Lushoto 📌 Vijiji vyote Nkasi vyafikiwa na huduma ya umeme Naibu Waziri wa Nishati,Judith Kapinga amesema ni azma ya serikali kuhakikisha wananchi wanapata umeme wa uhakika na unaotabirika kwa ajili ya shughuli za kijamii na  kimaendeleo.  Kapinga ameyasema hayo leo Januari 03, 2025 bungeni jijini Dodoma  wakati akijibu

“Azma ya serikali ni kuhakikisha wananchi wanapata umeme wa uhakika wakati wote”  Read More »

Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akishiriki katika matukio mbalimbali ya Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini kwa mwaka 2025, yaliyofanyika leo Februari 3, 2025, katika Viwanja vya Chinangali, Dodoma. Maadhimisho haya yanaongozwa na kaulimbiu isemayo: “Nafasi ya Taasisi Zinazosimamia Haki Madai Katika Kufikia Malengo Makuu ya Dira ya Maendeleo.”

Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria 2025 Read More »

Rais Samia ameing’arisha Chamwino kimaendeleo- Dk. Biteko

📌Serikali imewekeza zaidi ya bilioni 13 elimu ya Sekondari Chamwino 📌Uboreshaji wa miundombinu shilingi bilioni 17.9 zimetumika 📌Vijiji  vyote 47 Chamwino vimewashwa umeme 📌Asema Sekta ya Nishati ipo salama  Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa ya kuing’arisha

Rais Samia ameing’arisha Chamwino kimaendeleo- Dk. Biteko Read More »

Balozi Dk. Nchimbi atembelea Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania Ethiopia

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amesaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia, mjini Addis Ababa, alipotembelea ofisini hapo wakati wa ziara yake ya kikazi nchini humo. Kulia kwa Balozi Nchimbi ni Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Innocent Eugene Shiyo, na kushoto kwake ni

Balozi Dk. Nchimbi atembelea Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania Ethiopia Read More »

Verified by MonsterInsights