Habari

Mkutano wa Nishati Afrika (M300) kuchochea maendeleo ya Afrika

📌Dkt. Biteko asema utachochea utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Nishati 📌Ahamasisha uwekezaji katika Sekta ya Nishati 📌 WB, AfDB zampongeza Rais Samia kuwa Kinara Sekta ya Nishati 📌Lengo la Tanzania kuzalisha megawati 4,000 za umeme 📌Nishati safi ya kupikia kupewa kipaumbele Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu […]

Mkutano wa Nishati Afrika (M300) kuchochea maendeleo ya Afrika Read More »

Dk. Biteko afungua Mkutano wa Nishati wa Viongozi Afrika

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amefungua mkutano wa Kimataifa wa Nishati unaowakutanisha Viongozi mbalimbali wa Afrika, Mashirika ya Kimataifa; Viongozi wa Benki ya Dunia, Benki ya Maendeleo ya Afrika na taasisi ya Rockefeller (M300) inayofanyika leo Januari 27, 2025 jijini Dar es salaam. Taarifa zaidi zitakufikia kadri zinavyoendelea kupatikana.

Dk. Biteko afungua Mkutano wa Nishati wa Viongozi Afrika Read More »

Jinsi EAC imejiandaa Kuchochea Miundombinu ya Kidijitali na Ushirikiano wa Nishati wa Kikanda

📌 Wakati vituo vya data vikitarajiwa kuchangia asilimia 20 ya matumizi ya nishati duniani ifikapo mwaka 2050, je, Afrika Mashariki iko kileleni kuwa yenye thamani ikikimbiliwa na mataifa mbalimbali duniani huku ikionyesha utajiri wa biashara zenye faida na fursa isiyo na kifani kwa nishati? Mnamo mwaka wa 2024, kufuatia Mkutano wa Powering Africa wa EnergyNet huko

Jinsi EAC imejiandaa Kuchochea Miundombinu ya Kidijitali na Ushirikiano wa Nishati wa Kikanda Read More »

Hospitali ya Aga Khan ipo tayari kutoa huduma ya dharula wageni mkutano wa nishati

Katika kuhakikisha wageni watakaohudhuria mkutano mkubwa wa nishati wanakuwa salama kiafya muda wote, Waziri wa Afya Jenister Muhagama ametembelea hospitali ya Aga Khan iliyoko Jijini Dar es Salaam kwaajili kuangalia namna walivyojipanga kupokea wagonjwa ikitokea dharula. Mkutano huo utawakutanisha Wakuu wa Nchi 53 wa Afrika wanaojihusiha na masuala ya nishati unaotarajiwa kufanyika kuanzia kesho na

Hospitali ya Aga Khan ipo tayari kutoa huduma ya dharula wageni mkutano wa nishati Read More »

Kamati ya Bunge yaipongeza serikali  ujenzi wa vituo vipya vya kujazia gesi kwenye Magari

📌 Kituo mama cha CNG katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuhudumia magari 1,200 kwa siku 📌 Serikali yaendelea kuhamasisha Sekta binafsi ujenzi wa vituo vya CNG Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) imepongezwa kwa ujenzi wa mradi wa Kituo mama cha gesi iliyoshindiliwa yaani Compressed Natural Gas (CNG)  na Vituo

Kamati ya Bunge yaipongeza serikali  ujenzi wa vituo vipya vya kujazia gesi kwenye Magari Read More »

JK aipa PPAA changamoto kuokoa fedha za serikali katika miradi

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne,Dk. Jakaya Kikwete ameipa Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) changamoto ya kuangalia jinsi ununuzi wa umma unavyoweza kuokoa fedha za umma na kuhakikisha kuwa Serekali inapata thamani ya fedha katika miradi yake inayoitekeleza. Kikwete ametoa changamoto hiyo wakati alipotembelea banda la PPAA katika maonesho ya Wiki ya

JK aipa PPAA changamoto kuokoa fedha za serikali katika miradi Read More »

TANAPA yazindua “Valentine Weekend Gateway” kuhamasisha utalii wa ndani

Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), kwa kushirikiana na Kampuni ya @Busybee_Cabins, limezindua rasmi kampeni ya “Valentine Weekend Gateway na TANAPA” tarehe 21 Januari 2025 jijini Mwanza. Kampeni hii inalenga kuhamasisha Watanzania na wageni wa mataifa mengine kutembelea Hifadhi za Taifa msimu huu wa Sikukuu ya Wapendanao. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Kamishna wa

TANAPA yazindua “Valentine Weekend Gateway” kuhamasisha utalii wa ndani Read More »

Verified by MonsterInsights