Habari

Rais Samia: Walipakodi mjitahidi kulipa kodi kwa hiari, acheni dhuruma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan, amewataka walipakodi nchini kuendelea kulipa kodi kwa hiari na kuacha vitendo vya ukwepaji kodi ambavyo vinaathiri usawa wa ushindani sokoni. Akizungumza Januari 23 jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo za Mlipakodi iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), […]

Rais Samia: Walipakodi mjitahidi kulipa kodi kwa hiari, acheni dhuruma Read More »

Tanzania, UN Tourism zasaini makubaliano ya Kongamano la Kimataifa la Utalii wa Vyakula Barani Afrika

Na Mwandishi Wetu- Madrid, Hispania Tanzania na Shirika la Utalii Duniani la Umoja wa Mataifa (UN Tourism) zimesaini mkataba wa makubaliano utakaoifanya Tanzania kuwa mwenyeji wa  Kongamano la Pili la Kikanda la Utalii wa Vyakula la Shirika la Umoja wa Mataifa (The 2nd UN Tourism Regional Forum on Gastronomy Tourism for Africa) linalotarajiwa kufanyika jijini

Tanzania, UN Tourism zasaini makubaliano ya Kongamano la Kimataifa la Utalii wa Vyakula Barani Afrika Read More »

Stanbic yazindua “Tap Kibingwa” kuhamasisha malipo ya kidigitali

Benki ya Stanbic Tanzania imezindua rasmi mpango wake mpya, kampeni ya “Tap Kibingwa,” iliyoundwa ili kukuza suluhisho za malipo ya kidigitali na kuwazawadia wateja wake. Kampeni hii itakayoendeshwa kuanzia Januari 10 hadi Machi 31, 2025, inawahamasisha wateja kutumia Kadi zao za Visa Debit kwa miamala ya POS na eCommerce ili kushinda zawadi za kuvutia. Akizungumza

Stanbic yazindua “Tap Kibingwa” kuhamasisha malipo ya kidigitali Read More »

Kamati ya Bunge yakoshwa namna Ofisi ya Waziri Mkuu inavyohudumia watanzania

📌Yavutiwa na Mfumo wa Kidijitali wa Usimamizi na Uendeshaji wa Mashauri Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeridhishwa na utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zake namna inavyowagusa wananchi na kumpongeza Rais, Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa kuendelea kukuza ustawi na maendeleo ya watanzania.  Pongezi hizo

Kamati ya Bunge yakoshwa namna Ofisi ya Waziri Mkuu inavyohudumia watanzania Read More »

Wizara ya Madini yakusanya bilioni 521 nusu ya kwanza ya mwaka wa fedha 2024/25

📌Waziri Mavunde asisitiza lengo la trilioni 1 kufikiwa 📌STAMICO yapiga hatua kubwa kuelekea malengo yake 📌Asilimia 18 ya nchi kufanyiwa utafiti wa kina mwaka hivi karibu Wizara ya Madini imefanikiwa kukusanya shilingi bilioni 521 katika kipindi cha Julai 1, 2024, hadi Desemba 31, 2024. Hii ni sawa na asilimia 52.2 ya lengo la kukusanya shilingi

Wizara ya Madini yakusanya bilioni 521 nusu ya kwanza ya mwaka wa fedha 2024/25 Read More »

Prof. Shemdoe atoa maagizo kwa   wazabuni watakaosambaza chanjo ya mifugo

Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe amewataka wazabuni waliopewa jukumu la kusambaza chanjo kwa ajili ya kampeni ya chanjo ya mifugo nchini kuhakikisha kazi hiyo wanaifanya vyema kwa kushirikiana na wazalishaji. Ameyasema hayo wakati wa hafla fupi ya utiaji saini mikataba baina ya wizara na wazabuni hao watakaosambaza chanjo ya mifugo

Prof. Shemdoe atoa maagizo kwa   wazabuni watakaosambaza chanjo ya mifugo Read More »

Miundombinu ya kusambaza umeme ni ya muda mrefu – Dk. Biteko

📌Asema ilijengwa wakati mahitaji yakiwa kidogo  📌Vijiji vyote vimefikiwa na umeme  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,  Dk. Doto Biteko amesema miundombinu iliyopo ya kusambaza umeme ni ya muda mrefu na Serikali tayari imeshaanza kazi ya kuibadilisha. Dk. Biteko ameyasema hayo wakati akiwa katika kipindi cha dakika 45 ITV Januari 20,25. “Miundombinu hii imekuwepo

Miundombinu ya kusambaza umeme ni ya muda mrefu – Dk. Biteko Read More »

Verified by MonsterInsights