Naibu Waziri wa Fedha azindua Bahati Nasibu ya Taifa, hatua Kubwa michezo ya kubahatisha Tanzania
Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Chande, amezindua rasmi Bahati Nasibu ya Taifa Tanzania, hatua kubwa kwa sekta ya michezo ya kubahatisha nchini. Uzinduzi huo umefanyika katika hafla ya kihistoria ambapo Chande ameeleza umuhimu wa mpango huo katika kuchochea maendeleo ya kitaifa, kuongeza ajira, na kuhamasisha ufadhili wa miradi ya kijamii. Katika hotuba yake, Chande amesema, […]