Rais Samia Aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Dodoma
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 17 Januari 2025, ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika jijini Dodoma. Kikao hiki ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliopangwa kufanyika tarehe 18 na 19 […]
Rais Samia Aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Dodoma Read More »