Habari

Megawati 30 za Jotoardhi kuingia kwenye Gridi ifikapo 2026/2027 -Dk. Kazungu

📌 Anadi fursa za uwekezaji miradi ya Jotoardhi Baraza la 15  IRENA 📌 Asema Tanzania ina maeneo 50 yenye vyanzo vya Jotoardhi 📌 Ngozi, Kiejombaka, Songwe na Luhoi yatajwa kuwa miradi  ya kimkakati uzalishaji Jotoardhi Imeelezwa kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye rasilimali kubwa ya uwekezaji miradi ya jotoardhi ambapo jumla ya megawati 30

Megawati 30 za Jotoardhi kuingia kwenye Gridi ifikapo 2026/2027 -Dk. Kazungu Read More »

Wananchi Vijijini wahimizwa kutumia umeme kujiletea maendeleo

📌 Wananchi Watakiwa Kulinda Miundombinu Ya Umeme Mkuu wa Wilaya ya Uyui, Mohamed Mtulyakwaku amewataka wananchi waliofikiwa na miradi ya umeme vijijini kuhakikisha wanaunganisha nyumba zao na umeme kwa ajili ya kujiletea maendeleo. Mtulyakwaku ametoa rai hiyo wakati wa mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Mabama, wilayani Uyui Mkoa wa kwa lengo la kutoa elimu

Wananchi Vijijini wahimizwa kutumia umeme kujiletea maendeleo Read More »

Tanzania ipo tayari kupokea wakuu wa nchi  Afrika katika Mkutano wa Nishati wa Mission 300 -Dk.Kazungu

📌 Aliambia Jukwaa la IRENA UAE kuwa Tanzania imejipanga vema kwa ujio huo. 📌 Asema Tanzania imerekehisha sheria ya uwekezaji kuruhusu  sekta binafsi kutekeleza miradi 📌 Nchi wanachama IRENA wataka wabia wa maendeleo kuwekeza kwenye miradi ya nishati ambayo ni rafiki kwa mazingira Abu Dhabi, UAE Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati anayeshughulikia umeme na

Tanzania ipo tayari kupokea wakuu wa nchi  Afrika katika Mkutano wa Nishati wa Mission 300 -Dk.Kazungu Read More »

Mtume Mwaposa ampa kongole Lugumi kusaida wenye uhitaji

Mtume Boniface Mwamposa ‘Buldoza’ wa Kanisa la Inuka Uangaze amempongeza mfanyabiashara, Said Lugumi kwa kujenga maghorofa matano kwa ajili ya watoto yatima. “Nampongeza (Lugumi) niliona kwenye mitandao, hatakiwi kuvunjwa moyo, ni jambo jema limefanyika, ndani yake kuna roho ya kumcha Mungu,” amesema Mwamposa. Zaidi ya watoto 800 wenye mahitaji maalumu na wanaoishi katika mazingira magumu

Mtume Mwaposa ampa kongole Lugumi kusaida wenye uhitaji Read More »

Verified by MonsterInsights