Habari

Rais Mwinyi: Ongezeko la wawekezaji ni ukuaji wa uchumi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kuwa kuna ongezeko kubwa la Wawekezaji katika Sekta ya Utalii hatua inayochangia ukuaji wa Uchumi na Maendeleo ya nchi. Amebainisha kuwa Ongezeko hilo la Wawekezaji pia linachangia Ongezeko la Watalii wanaotembelea nchini hali inayoiimarisha sekta ya Utalii. Rais Dk. Mwinyi ameyasema

Rais Mwinyi: Ongezeko la wawekezaji ni ukuaji wa uchumi Read More »

Lissu athibitisha Padri Kitima kushiriki vikao vya siri vya CHADEMA

Katika tukio lililotokea jana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, amethibitisha hadharani kuwa Padre Charles Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), alihudhuria vikao vya siri vya chama hicho vilivyofanyika katika ukumbi mdogo wa Macapuchino ulioko eneo la Kanisa, Msimbazi Centre, jijini Dar es

Lissu athibitisha Padri Kitima kushiriki vikao vya siri vya CHADEMA Read More »

Mchungaji apongeza mfanyabiashara Said Lugumi kwa kuwajengea yatima maghorofa

Mchungaji wa Kanisa la Miracle International, Daniel, akiwa katika madhabahu ya kanisa hilo, amempongeza na kumtolea mfano mfanyabiashara Said Lugumi kwa kuwajengea watoto yatima maghorofa matano kwa ajili ya makazi na kuwalea kama watoto wake wa kuwazaa. Mchungaji Daniel ametolea mfano huo mbele ya waumini wake, akisisitiza umuhimu wa kutenda mema kwa wengine pasipo kujali

Mchungaji apongeza mfanyabiashara Said Lugumi kwa kuwajengea yatima maghorofa Read More »

Tanzania mwenyeji mkutano wa Nishati wa wakuu wa nchi za Afrika

📌 Mpango Mahsusi wa kuharakisha upatikanaji  umeme kwa Waafrika milioni 300 (Mission 300) kusainiwa 📌 Kupitia Mission 300 Tanzania itaunganishia umeme wateja milioni 8.3  Tanzania inatarajia kuwa Mwenyeji wa Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati baada ya Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuridhia

Tanzania mwenyeji mkutano wa Nishati wa wakuu wa nchi za Afrika Read More »

Makada wa CCM wapandishwa kizimbani tuhuma mauaji ya kigogo CCM Kilolo

WATU watano akiwemo Boniphace Yohana Ugwale katili wamefikishwa Mahakamani leo kwa tuhuma za mauaji ya aliyekuwa katibu wa Chama Cha mapinduzi (CCM)wilaya ya Kilolo Christina Nindi Kibiki na kusomewa shitaka hilo la mauaji. Watuhumiwa hao walifikishwa Mbele ya hakimu mkazi wa Mahakama ya wilaya ya Iringa Rehema Mayagilo majira ya saa 8 mchana huku Ulinzi

Makada wa CCM wapandishwa kizimbani tuhuma mauaji ya kigogo CCM Kilolo Read More »

Verified by MonsterInsights