Habari

Dk. Biteko ahimiza upendo, kuvumiliana katika kuleta maendeleo nchini

📌Asema Rais Samia anaendelea kuweka Historia Nchini 📌Asema Rais amenuia kupunguza changamoto za Watanzania Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe Dk. Doto Biteko amewahimiza Watanzania kuendeleza upendo mshikamano na kuvumiliana zikiwa nyenzo muhimu za kufikia maendeleo […]

Dk. Biteko ahimiza upendo, kuvumiliana katika kuleta maendeleo nchini Read More »

Waziri Mavunde asimamisha uchimbaji madini Mto Zila

📌Aelekeza shughuli za uchimbaji madini kusimama kipindi hichi cha Masika kama ilivyoelekezwa na NEMC 📌Timu ya Wataalam kufanya tathmini kwa kina na kutoa taarifa ya athari ya Mazingira 📌Akemea wananchi kuharibu mali za mwekezaji 📌Asisitiza Sheria na kanuni kufuatwa Waziri wa Madini, Anthony Mavunde  amesimamisha shughuli za uchimbaji zilizokuwa zikifanywa na kampuni ya G &

Waziri Mavunde asimamisha uchimbaji madini Mto Zila Read More »

Dk. Mpango aungana na Watanzania kusheherekea Krismasi kwa amani na tafakari

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wameungana na waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege mkoani Dodoma katika Ibada ya Sikukuu ya Krismasi leo tarehe 25 Desemba 2024. Akitoa salamu za Sikukuu ya Krismasi kupitia kwa waumini hao,

Dk. Mpango aungana na Watanzania kusheherekea Krismasi kwa amani na tafakari Read More »

Tusherehekee Krismasi na Mwaka Mpya tukijivunia mabadiliko makubwa Sekta ya Nishati

Katika kusherehekea SIkukuu za Krismasi na Mwaka Mpya 2025, Watanzania hatuna budi kujivunia safari ya mafanikio katika Sekta ya Nishati, hususan umeme. Je Unajua kabla ya kupata Uhuru mwaka 1961 Nchi ilizalisha umeme kwa kutumia mafuta ambapo kila mkoa ulijitegemea na hapakuwepo na mfumo wa gridi ya Taifa?  Safari ya Mabadiliko (yaani Journey of Transformation)

Tusherehekee Krismasi na Mwaka Mpya tukijivunia mabadiliko makubwa Sekta ya Nishati Read More »

Waziri Chana amuapisha Kamishna Uhifadhi NCAA, ampa maagizo mazito 

Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk. Pindi Chana amemuapisha na kumvisha cheo cha kijeshi Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, CC Dk. Elirehema Joshua Doriye huku akimtaka kuitumia nafasi hiyo kuonesha utendaji uliotukuka na wenye tija kwa maslahi ya Watanzania wote. Hayo yamejiri katika hafla ya kuvishwa cheo na kuapishwa kwa

Waziri Chana amuapisha Kamishna Uhifadhi NCAA, ampa maagizo mazito  Read More »

Watoto yatima waishukuru PSSSF kuwakumbuka Sikukuu 

WATOTO yatima wa Kituo cha kulea watoto wenye uhitaji cha Huruma kilichoko Tabata na Yoco kilichoko Kinyerezi jijini Dar es Salaam wametoa shukurani kwa watumishi wa PSSSF kundi la wakimbiaji (PSSSF RUNNERS) kwa kuwapatia misaada mbalimbali ikiwemo vyakula. Agnes Milali, ni mtoto anayelelewa katika kituo cha Yoco kilichoko Kinyerezi,  amesema misaada hiyo itawasaidia, amewashukuru watumishi

Watoto yatima waishukuru PSSSF kuwakumbuka Sikukuu  Read More »

Gridi za Tanzania na Kenya kuimarisha upatikanaji wa  umeme- Mha. Gissima Nyamo-Hanga

📌 Awahimiza wataalamu kusimamia zoezi la kuziunganisha Gridi za Tanzania na Kenya kwa umakini bila kuathiri upatikanaji wa umeme kwenye mfumo wa Gridi ya umeme Nchini 📌 Aeleza faida za Tanzania kufanya biashara katika soko la EAPP na SAPP Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) Mha. Gissima Nyamo-Hanga amesema kuimarika kwa mfumo

Gridi za Tanzania na Kenya kuimarisha upatikanaji wa  umeme- Mha. Gissima Nyamo-Hanga Read More »

Verified by MonsterInsights