Habari

Tanzania, Saudi Arabia Kuimarisha Ushirikiano Sekta Ya Nishati

📌 Waziri Kapinga afanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Nishati Saudi Arabia 📌 Wajadili ushirikiano katika Mafuta, Gesi Asilia, Nishati Jadidifu na Nishati Safi ya Kupikia 📌 Saudi Arabia yaeleza kutambua juhudi za Tanzania kuimarisha Sekta ya Nishati 📍SAUDI ARABIA Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na Saudi Arabia katika kuimarisha […]

Tanzania, Saudi Arabia Kuimarisha Ushirikiano Sekta Ya Nishati Read More »

Watumishi OSHA Waaswa Kuzingatia Weledi Katika Kusimamia Usalama na Afya Kazini

Watumishi wa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) wametakiwa kuzingatia weledi katika kutekeleza jukumu lao la msingi la kusimamia usalama na afya mahali pa kazi ili kuwahakikishia wananchi upatikanaji wa huduma bora. Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mary Maganga, alipokuwa akifunga

Watumishi OSHA Waaswa Kuzingatia Weledi Katika Kusimamia Usalama na Afya Kazini Read More »

Ujenzi Mradi wa kufua Umeme wa Bwawa la Julius Nyerere mbioni kukamilika

📌 MD Nyamo-Hanga na Viongozi wengine (TANESCO) wakagua Maendeleo ya ujenzi wa Mradi huo na kuahidi kuendelea kuusimamia hadi ukamilike 📌Megawati 1175  kutoka kwenye mashine tano zilizokwishakamilika zinazalishwa na tayari zimeungwa kwenye Gridi ya Taifa  📌 Utekelezaji wake kwa Ujumla wafikia asilimia 99.55 Uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) jana  Desemba 19, 2024

Ujenzi Mradi wa kufua Umeme wa Bwawa la Julius Nyerere mbioni kukamilika Read More »

 Dk. Kiruswa asisitiza mradi wa Kudu Graphite kuanza kwa wakati

📌Awataka kutekeleza matakwa ya Sheria ya Madini 📌KUDU Graphite Waahidi kuwaendeleza Watanzania kwenye kada muhimu Naibu Waziri wa Madini Dk. Steven Kiruswa amesisitiza kuanza kwa wakati kwa Mradi wa Uchimbaji Madini ya graphite (kinywe) na kwa mujibu wa Matakwa ya Sheria ya Madini alipokutana na Mwenyekiti Mpya wa Kampuni ya Evolution Energy Minerals, katika kikao

 Dk. Kiruswa asisitiza mradi wa Kudu Graphite kuanza kwa wakati Read More »

Ulega: TANROADS msilale

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kufanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha miradi ya dharura iliyo chini yake. Waziri Ulega ametoa maagizo hayo kwenye mkutano wake na Menejimenti na Mameneja wa TANROADS wa mikoa yote nchini uliofanyika mjini Dodoma ambapo aliwaambia miradi ya dharula inapaswa kushughulikiwa kidharura. “Fanyeni kazi

Ulega: TANROADS msilale Read More »

Kapinga atangaza fursa za uwekezaji nishati nchini Saudi Arabia 

📌Ashiriki Kongamano la Wafanyabiashara na Wawekezaji nchini humo 📌 Zaidi ya Wafanyabiasha na Wawekezaji 250 wakutana  📌 JNHPP yatajwa kuongeza uhakika wa uwepo wa umeme 📍Saudi Arabia Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Kongamano la Wafanyabiashara na  Wawekezaji nchini Saudi Arabia litaongeza uwekezaji kwenye Sekta ya Nishati kutokana na Tanzania kuzinadi fursa zilizopo kwenye

Kapinga atangaza fursa za uwekezaji nishati nchini Saudi Arabia  Read More »

Verified by MonsterInsights