Habari

TUGHE yasisitiza haki na wajibu ili kuleta tija sehemu za kazi 

Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) kimesisitiza kuwa ili kuleta tija katika maeneo ya kazi ni lazima wafanyakazi watimize wajibu wao ipasavyo huku waajiri nao wakiwajibika kutimiza haki za watumishi wao kulingana na makubaliano katika mikataba yao.  Akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Baraza Kuu TUGHE […]

TUGHE yasisitiza haki na wajibu ili kuleta tija sehemu za kazi  Read More »

Serikali yaipa kongole kampuni ya CRJE ikiahidi mahusiano mema na China 

SERIKALI imeipongeza Kampuni ya ukandarasi kutoka nchini China ya CRJE (East Africa) Ltd kwa ufanyaji kazi uliotukuka huku ikiahidi kuendelea kukuza mahusiano yaliyodumu kwa muda mrefu kati ya Tanzania na China. Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Waziri wa Katiba na Sheria Dk Damas Ndumbaro wakati wa uzinduzi wa ripoti ya Uwajibikaji kwa

Serikali yaipa kongole kampuni ya CRJE ikiahidi mahusiano mema na China  Read More »

EWURA yatoa mafunzo kwa Wanahabari, yahamasisha uvunaji wa maji ya mvua na matumizi ya nishati safi

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) leo Tar.13 Desemba 2024, imefanya mafunzo kwa Wanachama wa Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) jijini Dar es Salaam, huku msisitizo ukiwa kwenye uvunaji wa maji ya mvua katika kukabiliana na upungufu wa huduma za maji katika maeneo mbalimbali. Pia katika mafunzo

EWURA yatoa mafunzo kwa Wanahabari, yahamasisha uvunaji wa maji ya mvua na matumizi ya nishati safi Read More »

Filamu ya “Tantalizing Tanzania” yazinduliwa rasmi India

Filamu ya kutangaza vivutio vya utalii vya nchini Tanzania ijulikanayo kama “Tantalizing Tanzania” inayomhusisha mwanamuziki wa India Shakti Mohan aliyepiga picha mjongeo katika hifadhi za Serengeti, Ngorongoro na Zanzibar  imezinduliwa nchini India. Filamu hiyo iliyoandaliwa na Kampuni ya Swahili iliyopo Mumbai nchini India imezinduliwa rasmi na Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk. Pindi Chana

Filamu ya “Tantalizing Tanzania” yazinduliwa rasmi India Read More »

TANAPA yazindua kampeni ya “Shangwe la Sikukuu na TANAPA” Arusha

📌𝑀𝒶𝓂𝒾𝒶 𝓎𝒶 𝓌𝒶𝓀𝒶𝓏𝒾 𝓌𝒶 𝒿𝒾𝒿𝒾 𝓁𝒶 𝒜𝓇𝓊𝓈𝒽𝒶 𝓌𝒶𝒿𝒾𝓉𝑜𝓀𝑒𝓏𝒶 𝓀𝓊𝓈𝒽𝒾𝓇𝒾𝓀𝒾 𝓂𝒶𝓉𝒶𝓂𝒷𝑒𝓏𝒾 𝓎𝒶 𝒰𝓏𝒾𝓃𝒹𝓊𝓏𝒾 𝒽𝓊𝑜. Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limezindua rasmi kampeni ya “Shangwe la Sikukuu na TANAPA” leo, Desemba 13, 2024, jijini Arusha. Kampeni hii inalenga kuhamasisha Watanzania na wageni kutoka mataifa mbalimbali kutembelea Hifadhi za Taifa katika msimu wa sikukuu za Krismasi

TANAPA yazindua kampeni ya “Shangwe la Sikukuu na TANAPA” Arusha Read More »

Verified by MonsterInsights