Habari

Lissu atoa funzo la kuton’gan’gania madaraka

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimepasuka rasmi baada ya Makamu Mwenyekiti wake Tundu Lissu, kutangaza nia ya kugombea uenyekiti unaoshikiliwa na Freeman Mbowe, aliyedumu kwenye kiti hicho kwa miaka 20. Awali Lissu alitangaza kutetea nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti, lakini amebadilisha mtazamo wake, badala yake akamuandikia barua Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, akimuarifu

Lissu atoa funzo la kuton’gan’gania madaraka Read More »

Mnada wa madini ya vito kuzinduliwa rasmi Desemba 14 Mirerani

▪️Waziri Mavunde kuzindua Mnada Rasmi ▪️Lengo ni kuyaongezea thamani ▪️Kudhibiti utoroshaji ▪️Kuuzwa kwa bei ya ushidani WAZIRI wa Madini Anthony Mavunde anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mnada wa  madini ya  vito  unaotarajiwa kufanyika katika mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, ili kuyaongezea thamani madini hayo. Mnada huo ambao ulisimama kwa muda, umepangwa kufanyika

Mnada wa madini ya vito kuzinduliwa rasmi Desemba 14 Mirerani Read More »

DC Mgomi ataka nguvu ya pamoja kudhibiti vitendo vya ukatili wa kijinsia 

MKUU wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi, amewaasa wananchi wa Wilaya ya Ileje kuungana na kushirikiana kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia, kukemea na kushirikiana na vyombo vya dola kutoa taarifa ya vitendo vya ukatili wa kijinsia ili jamii iwe salama. Akizungumza mapema juzi wakati wa kilele cha maadhimisho ya Kampeni ya Siku 16 za

DC Mgomi ataka nguvu ya pamoja kudhibiti vitendo vya ukatili wa kijinsia  Read More »

Historia nyingine yaandikwa Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP)

📌Dkt.Biteko azindua mradi wa usafirishaji umeme (kV 400) Chalinze-Dodoma  na upanuzi wa vituo vya umeme Chalinze na Zuzu 📌Kuwezesha umeme kutoka JNHPP kufika Kanda mbalimbali za Tanzania, Migodi ,Viwanda, Kusini na Mashariki mwa Afrika 📌Asema Tanzania inaongoza Afrika kwa Usambazaji wa umeme kwa wananchi 📌Apaza sauti kwa wahujumu wa miundiombinu ya umeme; ataka hatua kali

Historia nyingine yaandikwa Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) Read More »

Bodi ya EWURA yaridhishwa na uendelezaji wa miradi ya umeme wa Jotoardhi

Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imeonesha kuridhishwa na hatua zilizofikiwa katika uendelezaji wa miradi ya kuzalisha umeme wa jotoardhi kwenye maeneo ya Ngozi (MW 70) na Kyejo-Mbaka (MW 60) mkoani Mbeya. Ziara hiyo, inayoongozwa na Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Prof. Mark Mwandosya imelenga kuona hatua iliyofikiwa katika uendelezaji

Bodi ya EWURA yaridhishwa na uendelezaji wa miradi ya umeme wa Jotoardhi Read More »

TANESCO tunathamini wadau wa maendeleo kuimarisha sekta ya nishati – Mha. Nyamo-Hanga

📌 Asema Serikali inaangalia njia bora ya kushirikisha Sekta Binafsi katika Ujenzi na Mifumo ya usafirishaji umeme 📌 Aeleza faida za Tanzania kufanya biashara katika soko la EAPP na SAPP Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania  (TANESCO), Mha. Gissima Nyamo-Hanga amesema kuwa TANESCO inathamini michango inayotolewa na wadau wa maendeleo katika kuimarisha sekta ya

TANESCO tunathamini wadau wa maendeleo kuimarisha sekta ya nishati – Mha. Nyamo-Hanga Read More »

Tutumie Nishati Safi Ya Kupikia Kuokoa Barafu Katika Mlima Kilimanjaro

Wakala wa Nishati Vijijiji (REA) umeendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ili kutunza uoto wa asili nchini pamoja na kulinda barafu katika Mlima Kilimanjaro. Rai hiyo imetolewa leo Disemba 10 na Afisa kutoka REA, Praygod Ng’unda mara baada ya kushuka kutoka Kilele cha Uhuru katika Mlima Kilimanjaro akiwa ameambatana na Afisa Rasilimali Watu

Tutumie Nishati Safi Ya Kupikia Kuokoa Barafu Katika Mlima Kilimanjaro Read More »

Verified by MonsterInsights