Habari

Mbowe: Kusema Chadema hatukuwa na maandalizi ya uchaguzi ni mitazamo yetu wanasiasa

“Kauli za ndani kwamba hakuna maandalizi, sikilizeni Jamani acheni kudakia vitu vidogo vidogo yaani vile vya uchimvi uchimvi. Inawezekana kila mmoja ana mtazamo tofauti, hiki ni Chama cha Siasa kuna watu wenye mitazamo tofauti lakini kuna maeneo tunakubaliana na kuna maeneo tunaweza tukabishana, na huo ndiyo ubinadamu wenyewe” Feeman Mbowe-Mwenyekiti wa Chadema Taifa.

Mbowe: Kusema Chadema hatukuwa na maandalizi ya uchaguzi ni mitazamo yetu wanasiasa Read More »

Mbowe mivutano kwenye mazungumzo ya kisiasa ni jambo lisilokwepeka

“Kila siku mnazungumza mnadanganywa, ni hivi mazungumzo katika mambo ya Kijamii upende usipende ni future ya lazima. Niwape mfano kule mashariki ya kati Israel wanapigana na Palestina na kwingineko na mamia ya watu wanauwawa lakini ni wangapi mnajua vita inapoendelea kule nchini QATAR-DOHA kuna mazungumzo ya kutafuta amani yanaendelea?” Feeman Mbowe-Mwenyekiti wa Chadema Taifa.

Mbowe mivutano kwenye mazungumzo ya kisiasa ni jambo lisilokwepeka Read More »

Silinde aitaka TFC kuharakisha usambazaji wa mbolea ya ruzuku

Naibu Waziri wa Kilimo,David Silinde ameiagiza Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC ) kuharakisha usambazaji wa mbolea ya ruzuku kwa wakulima wote nchini kwani tayari msimu wa kilimo umeanza. Akizungumza mara baada ya kutembelea ghala la kuhifadhi mbolea lililopo eneo la Chuo cha Magereza, Ukonga, jijini Dar es Salaam jana Desemba 09, 2024, Silinde amesema ameridhishwa

Silinde aitaka TFC kuharakisha usambazaji wa mbolea ya ruzuku Read More »

RC Kunenge aipongeza Taifa Gas jitihada matumizi nishati safi Pwani

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge, ameonyesha kuridhishwa na jitihada zinazofanywa na wadau mbalimbali mkoani humo ikiwemo Kampuni ya Taifa Gas katika kufanikisha kampeni ya mabadiliko kuelekea matumizi ya nishati safi ya kupikia miongoni mwa makundi mbalimbali ya kijamii ikiwemo taasisi za elimu na wafanyabiashara wa vyakula. Akizungumza wakati wa kikao cha Kamati ya

RC Kunenge aipongeza Taifa Gas jitihada matumizi nishati safi Pwani Read More »

Uwekezaji sekta ya Nishati Tanzania kunufaisha nchi wanachama EAPP – Kapinga

📌 Ashiriki Mkutano wa Nchi Wanachama wa EAPP nchini Kenya 📌 Aeleza jinsi Tanzania inavyotekeleza miradi ya umeme kwa ufanisi 📌 Asema zaidi ya asilimia 99 ya Vijiji nchini vimesambaziwa umeme Naibu Waziri Nishati, Judidhi Kapinga amesema uwekezaji uliofanyika kwenye Sekta ya nishati nchini Tanzania katika kipindi cha miaka mitatu itazinufaisha Nchi Wanachama wa Umoja

Uwekezaji sekta ya Nishati Tanzania kunufaisha nchi wanachama EAPP – Kapinga Read More »

Makandarasi wapigwa darasa usimamizi wa fedha katika miradi ya ujenzi

Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) imewanoa makandarasi wazawa kuhusu usimamizi mzuri wa fedha kwenye utekelezaji wa miradi ya ujenzi katika mafunzo ya siku tatu yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dodoma na kuwakutanisha washiriki kutoka mikoa mbalimbali. Aidha, wamesisitizwa kutumia wataalamu wa fani stahiki katika makampuni yao na katika utekelezaji wa miradi ili kuepuka changamoto

Makandarasi wapigwa darasa usimamizi wa fedha katika miradi ya ujenzi Read More »

Verified by MonsterInsights