Habari

Watumishi REA watakiwa kufanya kazi kuendana na kasi ya serikali

📌Asisitiza kuongeza ubunifu na kuzingatia maadili ya utumishi wa umma 📌Awataka kujiepusha na vitendo vya uvunjifu wa maadili 📌Wizara ya Nishati yaipongeza REA kwa utekelezaji wa miradi Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wametakiwa kufanya kazi kwa uadilifu, ubunifu, juhudi, maarifa na upendo ili kuendana na kasi ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa […]

Watumishi REA watakiwa kufanya kazi kuendana na kasi ya serikali Read More »

Serikali yaahidi kuendelea kushirikiana na wafanyabiashara kutatua changamoto

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Dotto Biteko, amesema serikali itaendelea kushirikiana na wafanyabiashara na wawekezaji kutatua changamoto mbalimbali zinazokwamisha ustawi na maendeleo ya biashara nchini. Ametoa kauli hiyo ya serikali wakati akifungua kongamano la mwaka la majadiliano ya biashara na uwekezaji kati ya serikali na sekta binafsi lililoandaliwa na Chemba ya Biashara,

Serikali yaahidi kuendelea kushirikiana na wafanyabiashara kutatua changamoto Read More »

Anne Makinda ataka tafiti kwanini wavulana wanashuka kitaaluma

SPIKA mstaafu Anne Makinda ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kairuki amependekeza zifanyike tafiti kujua sababu za watoto wengi wa kiume kuachwa nyuma kitaaluma na wenzao wa kike. Aliyasema hayo leo wakati wa kongamano la sita kitaaluma lililoandaliwa na chuo hicho kujadili namna sekta ya afya inaavyoweza kufanya mabadiliko kwa huduma hizokutolewa kidijitali.

Anne Makinda ataka tafiti kwanini wavulana wanashuka kitaaluma Read More »

Majiko ya gesi 19,530 kusambazwa kwa bei ya ruzuku Kilimanjaro 

📌Kila wilaya kupata majiko 3,255  📌Kilimanjaro wamshukuru Rais Samia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unatarajia kusambaza jumla ya majiko ya gesi (LPG) ya kilo sita 19,530 yanayotolewa kwa bei ya ruzuku ya 50% Mkoani Kilimanjaro ikiwa ni utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Nishati Safi ya Kupikia 2024-2034. Hayo yameelezwa Novemba 6, 2024 na Meneja

Majiko ya gesi 19,530 kusambazwa kwa bei ya ruzuku Kilimanjaro  Read More »

Dk. Jafo atembelea banda la REA kwenye Mkutano wa Kikanda wa Nishati 2024

📌Aipongeza REA kwa kufikisha umeme vijijini 📌Asisitiza matumizi ya nishati safi ya kupikia 📌Apokea taarifa ya miradi ya REA inayoendelea Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo ametembelea banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wakati akifunga Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati 2024 uliofanyika leo tarehe 5 Disemba, 2024 jijini Arusha.

Dk. Jafo atembelea banda la REA kwenye Mkutano wa Kikanda wa Nishati 2024 Read More »

Wahasibu Afrika waaswa kusimamia ukweli wa taaluma yao

📌 Dk. Biteko Amwakilisha Rais Samia Kufunga Mkutano AAAG 📌 Asema Afrika Inawategemea Wahasibu Kunufaika na Utajiri wake 📌 Asisitiza Matumizi ya Teknolojia kwa Wahasibu Afrika Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk. Doto Biteko amewaasa wahasibu barani Afrika kuisimamia taaluma yao kikamilifu ili kuendeleza umuhimu na mchango na ukuaji wa uchumi duniani. Ameyasema

Wahasibu Afrika waaswa kusimamia ukweli wa taaluma yao Read More »

Verified by MonsterInsights