Habari

Mkutano wa kikanda wa matumizi bora ya nishati waanza kwa mafanikio Arusha

📌Magari yanayotumia umeme yawa kivutio 📌*Wadau waonesha vifaa vinavyotumia umeme kidogo kwa gharama ndogo 📌Dk. Mataragio asema Matumizi Bora ya Nishati yanalenga kupunguza uzalishaji hewa ya ukaa Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati unaojumuisha Viongozi na Wadau mbalimbali kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika […]

Mkutano wa kikanda wa matumizi bora ya nishati waanza kwa mafanikio Arusha Read More »

Mawakili kesi ya wanandoa wameendelea kuchelewesha kesi

MAWAKILI wa utetezi katika kesi ya tuhuma za kujeruhi na kutoa lugha ya matusi inayomkabili wanandoa Bharat Nathwan (57) na Sangita Bharat (54) wamendelea kuchelewesha kesi hiyo kwa kutokufika mahakamani bila kuwasilisha vielelezo kwanini hawajafika mahakamani. Hali hiyo ilimkasilisha wakili wa serikali na hakimu kutokana na kujirudia rudia kwa tukio hilo na pia kuchelewesha kumalizika

Mawakili kesi ya wanandoa wameendelea kuchelewesha kesi Read More »

Dk. Samia: Tutaweka nguvu watanzania wabobevu watuwakilishe kimataifa

“Ndugu zangu, kufuatia msiba huu tumepokea salamu za pole na faraja kutoka sehemu mbalimbali duniani. Viongozi wa Afrika na viongozi wa Kimataifa. Na ninawashukuru wote waliotuma salamu hizo kwa serikali yetu. Nawashukuru pia viongozi wa Kimataifa ambao wameweza kuja kushiriki nasi kumuaga ndugu yetu. Haswa viongozi wa WHO. Muheshimiwa Spika na waombolezaji wenzangu. Mambo mengi

Dk. Samia: Tutaweka nguvu watanzania wabobevu watuwakilishe kimataifa Read More »

Wananchi wampongeza Rais Samia utekelezwaji miradi ya umeme vijijini

Wananchi wa Kijiji cha Keichuru kilichopo katika Wilaya ya Kibiti Mkoa wa Pwani wamempongeza na kumshukuru Rais, Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kwa utekelezwaji wa miradi ya kupeleka umeme vijijini kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Wametoa pongezi hizo leo wakati wa ziara ya Bodi ya Nishati Vijijini (REB) kutembelea na kukagua maendeleo ya mradi

Wananchi wampongeza Rais Samia utekelezwaji miradi ya umeme vijijini Read More »

Aginatha Rutazaa aomba mahakama maalum kushughulikia ukatili wa kijinsia

MWANAHARAKATI nguli nchini, Aginatha Rutazaa, ameiomba serikali kuunda Mahakama Maalum, itakayokuwa na jukumu la kushughulikia kesi pekee zinazohusu ukatili wa kijinsia. Rutazaa, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la TUSONGE CDO, amesema kesi hizo kwa sasa zinashughulikiwa katika mahakama za kawaida na mara nyingi hazipati ule uzito wake wa kufanyiwa kazi kwa haraka, kwa

Aginatha Rutazaa aomba mahakama maalum kushughulikia ukatili wa kijinsia Read More »

Wanawake wahamasishwa kuchangamkia fursa miradi ya nishati safi ya kupikia

Wanawake nchini wameendelea kuhamasishwa kuchangamkia fursa zitokanazo na nishati safi ya kupikia zikiwamo za utengenezaji wa majiko banifu na mkaa mbadala. Rai hiyo imetolewa leo mkoani Dar es Salaam na Mtaalam wa Jinsia na Nishati kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Dkt. Joseph Sambali wakati akitoa mada kuhusu nishati safi ya kupikia katika Kongamano la

Wanawake wahamasishwa kuchangamkia fursa miradi ya nishati safi ya kupikia Read More »

Dk. Samia: Wananchi jivunieni jumuiya yenu ya Afrika Mashariki

“Nawapongeza viongozi wa sasa na wa zamani wa taasisi. Ninayo furaha ya kwamba tunaposherehekea miaka 25 Jumuiya ya Afrika Mashariki inazidi kuimarika na kuelekea kwenye mtangamano thabiti zaidi. Kama tunavyosema kwenye wimbo wetu wa Afrika unasema ‘Jumuiya yetu tuilinde, tuwajibike, na iimarike. Umoja wetu ndio nguvu yetu au nguzo yetu. Idumu Jumuiya yetu’. Tumeweka maneno

Dk. Samia: Wananchi jivunieni jumuiya yenu ya Afrika Mashariki Read More »

Verified by MonsterInsights