Habari

Dk. Samia: Hatutaruhusu changamoto kuvunja jumuiya yetu

“Tunamshukuru Mwenyezimungu kwa uwepo wa kiongozi mmoja walioshiriki kikamilifu kuifufua jumuiya yetu Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda. Mwenyezimungu ampe afya njema. Mheshimiwa Museveni amekuwa Mwalimu, msuluhishi na muunganishi na kiongozi wetu ndani ya Jumuiya. Tunapotaka kukengeuka anaturudisha katika misingi ya Jumuiya,”Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan.

Dk. Samia: Hatutaruhusu changamoto kuvunja jumuiya yetu Read More »

Waajiri wahimizwa kuongeza utu, umakini kazini kukuza ubunifu, ufanisi na tija

📌 Dkt. Biteko amwakilisha Dkt. Mpango Tuzo za Mwajiri Bora mwaka 2024 📌 TBL, BARIC GOLD, TPA Zang’ara Ushindi wa jumla Mwajiri Bora 2024 📌 ILO yashauri Utambuzi wa Sekta isiyo rasmi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewahimiza waajiri nchini kuongeza umakini na kuzingatia misingi ya utu mahali pa kazi

Waajiri wahimizwa kuongeza utu, umakini kazini kukuza ubunifu, ufanisi na tija Read More »

Makalla: Kasoro za uchaguzi zinawahusu vyama vyote

“Tunasikitishwa na matukio mbalimbali yaliyotokea. Na mimi niungane na viongozi wa dini kukemea matukio haya yaliyotokea. Niliseme tu, matukio haya yasihusishwe na vyama vya upinzani tu. Yani tusiongelee kwamba tunakemea jambo hili kwa sababu vyama vya upinzani vina watu ambao wamepatwa na matukio haya halafu tukasahau na Chama Cha Mapinduzi kama nacho kimefanyiwa matukio haya.

Makalla: Kasoro za uchaguzi zinawahusu vyama vyote Read More »

PSSSF yaibuka mshindi wa kwanza tuzo za NBAA za uandaaji bora wa mahesabu, 2023

MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umetunukiwa tuzo ya mshindi wa kwanza ya umahiri katika uaandaji wa taarifa za mahesabu kwa mwaka unaoishia 2023, katika kundi la hifadhi ya jamii. Tuzo hiyo imepokelewa na Meneja wa Fedha, PSSSF, Vonness Koka, kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu, katika hafla ya utoaji tuzo ulioratibiwa

PSSSF yaibuka mshindi wa kwanza tuzo za NBAA za uandaaji bora wa mahesabu, 2023 Read More »

Verified by MonsterInsights