Habari

Mamlaka usafirishaji majini Barani Afrika zatakiwa kushirikiana kuboresha huduma

📌 Dkt.Biteko afungua Kongamano na Mkutano Mkuu wa 7 wa AAAMA 📌 Awataka washiriki kubuni mbinu za kukabili changamoto zilizopo 📌 IMO yaahidi kuendeleza ushirikiano kukabiliana na changamoto Baharini 📌 Dar es Salaam yampongeza Rais Samia kuboresha Bandani, kupunguza msongamano Jumuiya ya Mamlaka za Usimamizi wa Usafiri majini Barani Afrika zimetakiwa kushirikiana na kuungana ili

Mamlaka usafirishaji majini Barani Afrika zatakiwa kushirikiana kuboresha huduma Read More »

Watumishi Wizara ya Madini watakiwa kutangaza mikakati ya Wizara

Watumishi wa wizara ya Madini wametakiwa kuwa vinara wa kutangaza mikakati ya wizara hiyo inavyosimamia utekelezaji wa Sera na Mipango inayopelekea kuwepo kwa matokeo chanya katika Sekta ya Madini nchini. Hayo yamesemwa leo, Novemba 28, 2024 na Naibu Waziri wa Madini , Dkt.Steven Kiruswa wakati akifungua Baraza la Wafanyakazi Wizara ya Madini jijini Dodoma. Dkt.

Watumishi Wizara ya Madini watakiwa kutangaza mikakati ya Wizara Read More »

Tanzania Yaendelea Kung’ara Kwenye Utalii wa Tiba

📌Madaktari bingwa 20 waenda Comoro kutoa matibabu MADAKTARI bingwa 20 kutoka hospitali kubwa nchini wamesafiri kwenda nchini Comoro kwaajili ya kuweka kambi ya wiki moja ya uchunguzi na utoaji huduma za kibingwa za magonjwa mbalimbali ikiwemo upasuaji wa moyo, saratani na ubongo. Madaktari hao wanatoka  Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Taasisi ya Saratani ya Ocean

Tanzania Yaendelea Kung’ara Kwenye Utalii wa Tiba Read More »

Rais Samia akikagua Gwaride

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride maalumu wakati wa hafla ya Kutunuku Kamisheni na kushiriki Mahafali kwa Maafisa Wanafunzi kundi la 05/21BMS na kundi la 71/23 (Regular) kwenye Chuo Cha Mafunzo ya kijeshi (TMA) Monduli Mkoani Arusha leo November 28, 2024.

Rais Samia akikagua Gwaride Read More »

Verified by MonsterInsights