Habari

Nimepiga kura, nimetimiza haki yangu ya kikatiba- Kapinga

📌 Aungana na Wananchi kuchagua Viongozi Kitongoji cha Mheza 📌 Ahimiza Watanzania kuendelea kujitokeza kupiga kura Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga leo ameshiriki zoezi la kupiga kura katika Kitongoji cha Mheza kijiji cha Mkumbi Halmashauri ya Mbinga Vijijini ili kuchagua viongozi wa eneo husika. Kapinga ameeleza kuwa, kwa kufanya hivyo ametimiza haki yake ya […]

Nimepiga kura, nimetimiza haki yangu ya kikatiba- Kapinga Read More »

Waziri Aweso aendelea na kampeni Pangani, awahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura

Mbunge wa Jimbo la Pangani na Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso ameendelea na kampeni jimboni Pangani katika kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Aweso akiambatana na wajumbe wa kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Pangani ameendelea kuwanadi wagombea wa CCM kata kwa kata na kijiji kwa kijiji huku akiwahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi

Waziri Aweso aendelea na kampeni Pangani, awahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura Read More »

Dkt. Biteko awaalika wadau kushiriki Mkutano wa Kikanda Matumizi Bora ya Nishati

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko anawaalika Wadau wa Matumizi Bora ya Nishati katika Mkutano wa Kikanda (REEC2024) utakaofanyika Jijini Arusha tarehe 4 na 5 Desemba, 2024. Mkutano huo utahusisha Wadau mbalimbali kutoka Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

Dkt. Biteko awaalika wadau kushiriki Mkutano wa Kikanda Matumizi Bora ya Nishati Read More »

Waziri Chana: Hakikisheni mashamba ya miti yanasajiliwa kwa bima

Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk. Pindi Chana ameielekeza Menejimenti ya Shamba la Miti Sao Hill kuweka utaratibu wa kujisajili katika bima kwa lengo la kukabiliana na hasara zinazotokana na miti kuungua kwa moto. Waziri Dk.Chana ameyasema  hayo leo Novemba 25,2024 alipofanya ziara ya kikazi katika Shamba la Miti Sao Hill lililopo Wilaya ya

Waziri Chana: Hakikisheni mashamba ya miti yanasajiliwa kwa bima Read More »

Kapinga aendelea na mchakamchaka kuhamasisha wananchi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

📌 Baada ya Namtumbo, aingia Mbinga Vijijini 📌 Ataka Wananchi kujitokeza kwa wingi Novemba 27, 2024 📌 Asema Kura ziende CCM; Ndiyo chimbuko la Viongozi Bora; Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga anaendelea na kazi ya kuhamasisha Wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa

Kapinga aendelea na mchakamchaka kuhamasisha wananchi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Read More »

MUHAS yafanya mbio za Reunion Fun Run kuchangisha ujenzi miundombinu ya michezo na kuimarisha afya

Mkurugenzi wa Kinga, Wizara ya Afya, Dk. Ntuli Kapologwe, amesema mbio za Reunion Fun Run, zilizoandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kwa msimu wa tatu, zinalenga kuboresha miundombinu ya michezo chuoni humo huku zikihamasisha jamii kuhusu umuhimu wa mazoezi kwa afya. Akizungumza leo, Novemba 23, 2024, baada ya mbio hizo

MUHAS yafanya mbio za Reunion Fun Run kuchangisha ujenzi miundombinu ya michezo na kuimarisha afya Read More »

Verified by MonsterInsights