Habari

Rais Samia aungwe mkono ajenda ya nishati safi ya kupikia – RC Makongoro

📌Mitungi ya gesi ya kupikia 9,765 kusambazwa Rukwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mhe. Makongoro Nyerere amewataka Watanzania kuendelea kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuhamasisha na kuchochea ajenda ya nishati safi ya kupikia nchini.  Hayo yamebainishwa leo Novemba 21, 2024 na Mhe. Nyerere mara baada

Rais Samia aungwe mkono ajenda ya nishati safi ya kupikia – RC Makongoro Read More »

Rais Samia atoa Sh.bilioni 24 kutekekeleza miradi ya maendeleo Namtumbo

📌 Miradi ya Kilimo, Afya, Elimu, Umeme na Maji yaguswa 📌 Kapinga asema maendeleo yaliyofanyika yanaonekana wazi; hayahitaji tochi 📌 Aeleza jinsi Ilani ya CCM ilivyotekelezwa kwa mafanikio kupitia usambazaji umeme vijijini 📌 Azindua Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Namtumbo; Ahimiza wananchi kupiga kura Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia

Rais Samia atoa Sh.bilioni 24 kutekekeleza miradi ya maendeleo Namtumbo Read More »

Naibu Spika Mgeni asisitiza ujenzi wa viwanda vya uongezaji thamani madini nchini

📌Aishukuru GST kwa kufanya utafiti wa madini na kuandaa Ramani ya Jiolojia Zanzibar 📌Awakaribisha Wawekezaji Kuwekeza Katika Sekta ya Madini Zanzibar 📌 Waziri Mavunde asema Wizara itaandaa eneo maalum la kudumu la kufanyia Mikutano ya Madini Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mgeni Hassan Juma, amesema kuwa kama ili kufikia azma ya kuwa kitovu

Naibu Spika Mgeni asisitiza ujenzi wa viwanda vya uongezaji thamani madini nchini Read More »

REA yawahakikishia upatikanaji wa mitungi ya gesi ya kilo sita nchi nzima

📌Mitungi ya gesi zaidi ya 13,000 kusambazwa Songwe 📌Kila wilaya kupatiwa mitungi ya gesi 3,255  Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeingia mkataba na mtoa huduma kampuni ya Oryx Gas Tanzania Limited ambaye atahudumia wilaya zilizopo ndani ya Mkoa wa Songwe kwa kuuza kwa bei ya ruzuku mitungi ya gesi ya kilo sita pamoja na vifaa

REA yawahakikishia upatikanaji wa mitungi ya gesi ya kilo sita nchi nzima Read More »

Verified by MonsterInsights